Makapuku Forum

Makapuku Forum

Udaky
fb16cf8a5d129c69cef298e5a81ba2d0.jpg

7d315b4518efaa4ac018a11354c375f1.jpg
Kwa wiki na siku kadhaa nilikua sioni Gazeti ila leo nimeziona.
Thanks Jux.
Ila
Udaky>>>>>>>Udaku.
 
NUKUU YA LEO

The biggest diseaase today is not leprosy or tuberclosis, but rather the feeling of being unwanted

Ugonjwa mkubwa leo hii sio ukoma wala kifuu kikuu, bali ni hali ya kutokukubalika

Haya maneno yalipatwa kusemwa na mtakatifu mama Teresa wa calcutta.

Mama Teresa alizaliwa katika mji wa Anjezë Gonxhe Bojaxhiu nchini macedonia tar. 26/8/1910 na kufariki akiwa na miaka 87, tar. 26/9/ 1997.

Mama Teresa atakumbukwa kwa kujali wanyonge, wagonjwa, na wa watu wanaotengwa na jamii kutokana na matatizo ya kiafya.
95f102c73235779db75c2aac8922da4e.jpg


203335bac0e859cba38252b0dcbc37fd.jpg


Morning motivational.

Hakuna kitu kibaya kama kutokukubalika, kutokusikilizwa, kutopewa kipaumbele, kutokuthaminiwa, kudharauliwa na hali kama hizo..

Mjali mtu kwa nafasi, mehushimu kila mtu !

Transcend
Yes hali hiyo humfanya mtu kisaikolojia asiwe sawa kabisa na hupelekea kukata tamaa.

R.I.P Mom Teresa

Aliishi 87yrs +30days
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom