Shadrack K. Lwila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 4,925
- 14,294
Basi naomba unilinde mimi inaonekana kazi ya ulinzi unaipenda sanaNitamlinda basi hata Sakayo.

Mkuu ripoti itakuja namalizia kidogo uchunguziFinally, sakayo is here
Leteni hiyo ripoti sasa..
Cc:
Shedede
Lee empire
Wapi tenaNjoo huku
Ndo naingiaa mkuuLee vipi tuweke je wajua kama upo vzr leo.
Toa ripoti yako, tuendelee na mambo mengineWapi tena
Babyshedede hiyo kazi unaonekana unaipenda sana
Ohooo ohooooo bando lishachacha au unasemajeNdo naingiaa mkuu
Asante nawewe piah mkuuHabari zenu wakuu makapuku?
Natumai mko poa wote humu ndani.
Naomba niwatakie usiku mwema bila kumsahau mtoto mzuri Shunie
hahahah na kweli akili yako imebadilika mshukuru sana lee, wakina mondray walikuacha![]()
Siku hizi sina vurugu tena kaka"Ndugu yako hatakuambia kua anakupenda lakini anakupenda sana"
"Ndugu yako (mdogo wako) hatokuacha uishi kwa amani lazima akusumbue"
Kwa ruksa ya naniMbona namlinda shunie
Kweli kabisaYaah nikazi rahisi ni kuchunguza what going on na kuwasilisha tu ata senti tano siitaji
Ya TKwa ruksa ya nani
aisee ww nakuogopa naomba usiwe mlinzi wangu kabisa
kuna siku nilipewa ban ukawa unaongea huku mambo ya jlw
ww sikutaki kabisa

Wacha weee umekua paroko eenheSiku hizi sina vurugu tena kaka
Ofcoz mmeo lee ni dr. Na sikosei kumuita dr.lee
Ameweza kuchange my mind lakin kunawatu wanakuja kama mimi wanatukanwa![]()
![]()
yule jamaa wa jana speed yake hadi mi niliogopa shemu

AnajipendekezaaKwani nawew ni mlinzi![]()
![]()
Huyu mgeni amekuja comment ya kwanza kamtaja bibie Shunie..Habari zenu wakuu makapuku?
Natumai mko poa wote humu ndani.
Naomba niwatakie usiku mwema bila kumsahau mtoto mzuri Shunie






Mweeehuuuu wewehahahahhah yule wa jana harudi tena
lee wangu ni zaidi ya dr.ila vikimpanda utatamani ukajifiche
