mkubhi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2015
- 2,216
- 3,319
Mbona balaa hili!?
Mbona balaa hili!?
Njoo hukuJamani asanteni kwa kunibadilisha mpaka akili aise sio kwa staha na hekima nilionayo saivi
Nikiingia jf chakwanza naangalia makapuku kuna nini? Daah majukwaa kama jamii interijence,siasa za kina bashite , mmu nimesahau mpaka njia ya kuingilia
NshakujaaAendelee kuweka
HahahaNitamlinda basi hata Sakayo.
Jamani siku hizi nimetulia ila mnanitafuta tuu...Nitamlinda basi hata Sakayo.
Mambo ya jlw ndio nini?hahaha sitaki siku ile nimekuta transcend anakuuliza mambo ya jlw
ukasema daah kule shunie ni hatari mm napita tu nalike
mm bwana sitakiuwe mlinzi wangu
Hahahahaa!
Nakuona tuuhapo sawa![]()
"Ndugu yako hatakuambia kua anakupenda lakini anakupenda sana"Jamani siku hizi nimetulia ila mnanitafuta tuu...
Haya
Hahahaaa!Ujue nilivyo Soma tuu hii sms nilisinzia na ndo naamka mpenzi!!!
We ni mtekaji, sio kwa usingizi ulee
Hamna bhanaWewe kwanza Sakayo T alininyakua.
Na venye naogopa fimboUkitoa hiyo avatar nakuchapa!
Ukiitoa usinisemesheHahaha
Hapana aisee
Una kana?Hamna bhana
BabyFinally, sakayo is here
Leteni hiyo ripoti sasa..
Cc:
Shedede
Lee empire
JamaniiiiAaaaaya!
Kuna neno nilikuwa niandika hapa ila watoto hawajalala..
Rafiki wa kweli lazima amsaidie rafiki yake kutimiza mipango yake.Hahahahaa!
Tutawateka, hawatokaa waione kapuku mileleJamani siku hizi nimetulia ila mnanitafuta tuu...
Haya
Sawa shemUkiitoa usinisemeshe