Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ofcoz mmeo lee ni dr. Na sikosei kumuita dr.lee
Ameweza kuchange my mind lakin kunawatu wanakuja kama mimi wanatukanwa [emoji23] [emoji23] [emoji23] yule jamaa wa jana speed yake hadi mi niliogopa shemu
hahahahhah yule wa jana harudi tena
lee wangu ni zaidi ya dr. [emoji23] ila vikimpanda utatamani ukajifiche
 
Dah! nimekaa na pilipili yangu mpaka kwa bahati mbaya nikajitovuga machoni lakini sikuona kama kuna shughuli inaendelea. Si vizuri nyie watu!! Afadhali ndizi nilikula mchana na Rambo nikawekea maganda ya ndizi. Shunie au mlikosa masufuria ya kupikia chakula cha "anniversary"?
 
tumeshakula [emoji23]
 
Back
Top Bottom