Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,007
- 108,555
Nitamlinda basi hata Sakayo.Kwani nawew ni mlinzi![]()
![]()
Nitamlinda basi hata Sakayo.Kwani nawew ni mlinzi![]()
![]()
hahaha sitaki siku ile nimekuta transcend anakuuliza mambo ya jlwMm sio mbaya nitakulinda zidi ya wanyapiaji.
Allow me please
uwe mlinzi wangu
hapo sawaNitamlinda basi hata Sakayo.

Ungeuliza nimezungumzia hatar ipi!hahaha sitaki siku ile nimekuta transcend anakuuliza mambo ya jlw
ukasema daah kule shunie ni hatari mm napita tu nalike
mm bwana sitakiuwe mlinzi wangu
Wewe kwanza Sakayo T alininyakua.hapo sawa![]()
labda comments au postUngeuliza nimezungumzia hatar ipi!
Kwani naww unajijua ni hatari!
MmhWewe kwanza Sakayo T alininyakua.
Kwani Comments zako na Post zina uhatari?labda comments au post
hata sijui mm ndio nilichohisi kwan ulimaanisha vipiKwani Comments zako na Post zina uhatari?
Ujue nilivyo Soma tuu hii sms nilisinzia na ndo naamka mpenzi!!!Yaaani;
Nje pako kama giza ndo linaingia hivi..
Afu mvua ndio imekatika sasa hivi..kabaridi ka kutoshaa
Mapazia nimeshusha yooote...joto liko chini kabisaa 17°C
Nimewasha yellow lights za chumbani now..
Afu kuna mziki wa poleee poooleee
Yaaani;
Nje pako kama giza ndo linaingia hivi..
Afu mvua ndio imekatika sasa hivi..kabaridi ka kutoshaa
Mapazia nimeshusha yooote...joto liko chini kabisaa 17°C
Nimewasha yellow lights za chumbani now..
Afu kuna mziki wa poleee poooleee kama huo hapa chini...
Ukitoa hiyo avatar nakuchapa!Ujue nilivyo Soma tuu hii sms nilisinzia na ndo naamka mpenzi!!!
We ni mtekaji, sio kwa usingizi ulee
Ushasahau tukiwa wote ndo uvaavyo wakati unaniandalia chakula mume wangu!!!Aaaaah!
Hadi nimeshtuka! Eeeh uko kwangu nini?
Kua na amani hatukuwa tunakuzungumzia ww na post zako au commentshata sijui mm ndio nilichohisi kwan ulimaanisha vipi
HahahaWeka avatar ya kutisha nao waogope
HahahaUtaniambia tukiwa tumelala..
Mpaka niwepoMwambie aweke hapa...
Huu ndo muda
NshakujaaaaaaTunamsubiriaa sakayo
Finally, sakayo is hereMpaka niwepo
Aaaaaya!Hahaha
Tukilala ajabu sikuogopagi, najikuta tu nimekukumbatia honey