Makapuku Forum

Makapuku Forum

Jamani asanteni kwa kunibadilisha mpaka akili aise sio kwa staha na hekima nilionayo saivi

Nikiingia jf chakwanza naangalia makapuku kuna nini? Daah majukwaa kama jamii interijence,siasa za kina bashite , mmu nimesahau mpaka njia ya kuingilia
hahahah na kweli akili yako imebadilika mshukuru sana lee, wakina mondray walikuacha [emoji23]
 
Hapana mkuu ngoja faiza foxy aje make yule msukuma alivyokuwa anajiproud niliogopa kaunda uzi mwenyewe "oh mimi nimemtongoza jana leo niko nae namshukuru MUNGU"

Sasa ngoja aje nimwambie yote yaliyo moyoni uzur si unaniaminia nyagei we wacha aje[emoji4] [emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio yule dume suruali
 
Back
Top Bottom