Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Hivi vyeo siku hizi mpaka ukasome, sio unapewa tuuUmepanda cheoo
Chief kamanda
Hivi vyeo siku hizi mpaka ukasome, sio unapewa tuuUmepanda cheoo
Chief kamanda
Ok ok chief kamanda ...play your roleWe unafikir angesema ananitaka mi ningefanyaje yangefika kwako
Naeshimu kazi![]()
![]()
Mpe kichwa tu.Umepanda cheoo
Chief kamanda
Na ni kosa kubwa kumzuia mtu kufanya kazi yakeKwenda hukooo!!!
Hivi unajua kufuatilia comments za mtu bila ridhaa yake ni kosa kisheria
Hakuna siri apo ningetoa siri za watu pm apo sawaKwenda hukooo!!!
Hivi unajua kufuatilia comments za mtu bila ridhaa yake ni kosa kisheria
Niombe kaziNa ukijuaaa ??
Nakuamini chiefKadir navyoifanya nitazid kupata more experience hiyo isikupe shidah boss mwenyew utafurahi
HapanaUnamteteaa ??
Kitoba=kirobaNgoja nishtue kitoba then nianze unyapiaji
Bado uchunguzi namba mbili kesho nitautoa hapa hapaUmepanda cheoo
Chief kamanda
Alafu inawahusu niniWe ulitaka nilipwe?
We ndomana hujapewa umeweka mbele maslahi
Sio kila kazi inaitaji mshahara kazi zingine asante inatosha
Ulishawahi kutembelea busha weweNgoja nishtue kitoba then nianze unyapiaji
HahahaMpe kichwa tu.
Hua huonagi muvi za kihindi?
Ngoja namm nianze kufuatilia comments zakoKitoba=kiroba
Ufanisi kaziniHivi vyeo siku hizi mpaka ukasome, sio unapewa tuu
Nampa tahadhari tuuNa ni kosa kubwa kumzuia mtu kufanya kazi yake
Sio mpaka pm, kwa nini uchambue comments za mke wa mwenzakoHakuna siri apo ningetoa siri za watu pm apo sawa
HahahaaaTuko nae kule mmu bhana