Makapuku Forum

Makapuku Forum

Njia rahisi ya kushindana na wakorofi ni kuignore
Zamani thread za kutushambulia nilikuwa nyongi baadaye tukagundua lengo ni kiki na kutupandisha hasira ili tuonekane wakorofi zen huu uzi ufutwe

Hivyo tukaanza kuwapuuza na kweli mashambulizi yakapotea
.......
Nina maswli kibao kwako na Baily5
 
Leo ratiba ya michezo ni kama ifuatavyo :
Belgium playoffs
573f1b5555dc2f963f56e8e752543da0.jpg

England EPL
156fabda8ebc7f97f3a14f4a1f6aed44.jpg

David Moyes akiikaribisha timu yake ya zamani huku akiwa na kumbukumbu ya kutopata goli mechi tano mpaka sasa,
Big match ni Everton vs Leicester
France league 1
62f030dc3024c3626ba8e93c85e186d6.jpg

Germany Bundesliga
d437939159ea79bf1f7a68156c5a26ec.jpg

Italy Seria A
4c26fd5f2ef1f53482247d6871fc1566.jpg

Big match leo huko Italy ni Lazio vs Napoli

Kenya premier League
52129273811dd3e1067947a0e064de6e.jpg

Netherlands EREDIVISIE
4d892c452112c054bfd92eebfcc2f484.jpg

Spain LaLiga
d5e9338884841570c8b9a01eef37301d.jpg
 
Your excellence Kapuku Founder mr .Bitoz

Distinguished Kapuku Supporters..

Ladies and gentlemen..

Goodmorning all...

Awali ya yote nitoe shukuran zangu walionipokea makapuku mwaka jana.

Mwanzoni kabisa nilikuwa sielewi makapuku pako vipi..na kweli ukija huku weww ni mgeni lazima uwe na maluwe-luwe manake watu wanapiga stori as if wanalala nyumba moja.. kama ni mgeni lazima uvurugwe..

So nilikaa kama week nasoma tuu comment bila kulike wala kukoment chochote..japo forum ilikuwa imelala sana..baada ya muda nikaondoka nikifikiri forum imekufa ..

Ila kila baada ya muda nilipita kuangalia..siku ya kwanza kucomment ilikuwa ni salamu kwa Broo Quigley na mussolin5

Nilijifunza kwanza kusalimia tuu..

Wakati huo nilikuwa sana jukwaa la jf-intelligence na jukwaa la siasa.

Baada ya muda nilipazoea huku kidogo kidogo so nikawa nakuja kapuku kila siku..

Hapa nina marafiki wengi sana! Nitoe tuu shukrani zangu kwamba nikichoka huwa nakuja kurefresh hapa..naweza nisiingie whatsapp siku nzima ila makapuku naingia..

It has been a nice and stressless zone for me..Wengine hapa ni marafiki hadi nje ya makapuku forum and thats how friends should live..

Nitoe shukrani za dhati kwa Quigley, shululu, Queen kan, Obe, Tetra, shunie, Sakayo wangu, nyagei, blessesdhope, werrason, shedede, lee empire, Baily5, Bitoz,Jimena,Mondray,paprika,Clkey,johnsonmgaya,fakalava,mkoroshokigoli,Rogie,SHIMBA YA BUYENZE,PRONDO,Aisha,snipes,Rayvan boy,mussolin5,mkubhi na wengine woooote ambao sijaweza kuwataja hapa ila tuko pamoja..

Mualike makapuku wengine ! Kizazi cha kina Transcend kinapita ..

Happy One year anniversary to you kapukuz..
 
Kwa age uliyoitaja juzi kizazi chako bado kinaishi mpaka 13yrs later

BTW happy birthday to you too kapuku Mshauri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom