Makapuku Forum

Makapuku Forum

Jana tumekuja kule mkuu,

Maambie hatutaki ugomvi tuu, tukija kula ni kama viwavi..
Njia rahisi ya kushindana na wakorofi ni kuignore
Zamani thread za kutushambulia nilikuwa nyongi baadaye tukagundua lengo ni kiki na kutupandisha hasira ili tuonekane wakorofi zen huu uzi ufutwe

Hivyo tukaanza kuwapuuza na kweli mashambulizi yakapotea
.......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom