Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Sura yako sijaionaKama jana uliona sura yangu utaelewa kuwa sina ile miaka..
Mondray kapishana nayo..

Ni cheo umetunukiwa mkuu kuwa Mshauri wa Kapuku'sHivi mimi ni mshauri?
naendelea kuusoma mkuu, naona makapuku mnavocheza mpira wa pasi (kampa kampa tena) kama barcelonaEndelea kuusoma mkuu
naendelea kuusoma mkuu, naona makapuku mnavyocheza mpira wa pasi ( kampa kampa tena) kama barcelonaEndelea kuusoma mkuu

Soma tuuNapitia text moja baada ya nyingine haya ni majukumu yangu ya kazi jamani![]()
![]()
![]()
![]()
kapukuDaaaahYour excellence Kapuku Founder mr .Bitoz
Distinguished Kapuku Supporters..
Ladies and gentlemen..
Goodmorning all...
Awali ya yote nitoe shukuran zangu walionipokea makapuku mwaka jana.
Mwanzoni kabisa nilikuwa sielewi makapuku pako vipi..na kweli ukija huku weww ni mgeni lazima uwe na maluwe-luwe manake watu wanapiga stori as if wanalala nyumba moja.. kama ni mgeni lazima uvurugwe..
So nilikaa kama week nasoma tuu comment bila kulike wala kukoment chochote..japo forum ilikuwa imelala sana..baada ya muda nikaondoka nikifikiri forum imekufa ..
Ila kila baada ya muda nilipita kuangalia..siku ya kwanza kucomment ilikuwa ni salamu kwa Broo Quigley na mussolin5
Nilijifunza kwanza kusalimia tuu..
Wakati huo nilikuwa sana jukwaa la jf-intelligence na jukwaa la siasa.
Baada ya muda nilipazoea huku kidogo kidogo so nikawa nakuja kapuku kila siku..
Hapa nina marafiki wengi sana! Nitoe tuu shukrani zangu kwamba nikichoka huwa nakuja kurefresh hapa..naweza nisiingie whatsapp siku nzima ila makapuku naingia..
It has been a nice and stressless zone for me..Wengine hapa ni marafiki hadi nje ya makapuku forum and thats how friends should live..
Nitoe shukrani za dhati kwa Quigley, shululu, Queen kan, Obe, Tetra, shunie, Sakayo wangu, nyagei, blessesdhope, werrason, shedede, lee empire, Baily5, Bitoz,Jimena,Mondray,paprika,Clkey,johnsonmgaya,fakalava,mkoroshokigoli,Rogie,SHIMBA YA BUYENZE,PRONDO,Aisha,snipes,Rayvan boy,mussolin5,mkubhi na wengine woooote ambao sijaweza kuwataja hapa ila tuko pamoja..
Mualike makapuku wengine ! Kizazi cha kina Transcend kinapita ..
Happy One year anniversary to you kapukuz..
Afternoon sirMorning wakuu
Pamoja mkuuAsante sana japo mi niliingia humu kwakuchelewa lakini tupo pamoja sana
happy bithday makapuku
Ni mwaka mmoja sasa tangu uzaliwe kapuku nimengi unapitia sana lakini bado umesimama imara japo kunachangamoto mbali mbali bado umesimama kidete uishi miaka mingi zaiidi.
Nitakuwa mchoyo wa fadhila nisipo washukuru watu niliowakuta humu makapuku shunie,lee empire,nyagei,billy5,transcend,bitoz,mussolin5,sakayo,mondray,papupi,aisha2016,.......n.k aisee list ni kubwa sana![]()
![]()
![]()
![]()
Japo tulipokeana kwa bashasha la hapa na pale mpaka nikajisainisha humu kapuku na kitanzi nikajivika kama nkurunzinza lakini saivi tupo sawa tunaishi kwa amani sana ......
THE BORD GUARD
Nakupenda mke wangu...Daaaah
Mie hata sijui nianzie wapi ila niseme tuu happy birthday kapuku!!!
Mzima hubbyAaaaaw niite Mume..
Afternoon my love.
Mzima?
Nakupenda pia mume wangu!!!Nakupenda mke wangu...
Nimekumiss mno mke wangu..Nakupenda pia mume wangu!!!
Nakumiss sana ujue
Karibu mkuu..naendelea kuusoma mkuu, naona makapuku mnavyocheza mpira wa pasi ( kampa kampa tena) kama barcelona
dizaini kama bado wapo kwenye suffer bwege!
Ubarikiwe mkuuYour excellence Kapuku Founder mr .Bitoz