Makapuku Forum

Makapuku Forum

HAPPY ONE YEAR ANNIVERSARY THANK YOU LORD FOR BRINGING US THIS FAR ..ASANTE MUNGU KWA UMOJA ,UPENDO,MSHIKAMANO,MAELEWANO ,KUJALIANA NA TUNAOMBA UTUJALIE UZIMA ILI TUWEZE KUDUMISHA MSHIKAMANO HUU..ASANTE SANA WOTE WALIOANZISHA JUKWAA HILI NA WANAOSIMAMIA KWA UPENDO NAJISIKIA AMANI KUWA MAHALI HAPA NASHUKURU SANA KWA NAMNA TUNAVYOCHUKULIANA KWA UPENDO..WE BELONG TO EACH OTHER..THANK YOU LORD

1.Mahali ni pazuri ndugu wanapokaa,
/wakipatana vema na wakipendana/

2.Kama umande mzuri unyweshavyo shamba,
/hivyo na Mungu wetu abariki ndugu/

3.Upendano hujenga boma zuri kwao,
/wakae kwa amani waliookoka/

4.Na ulimwengu wote wavutwa nuruni,
/halafu kundi moja na mchunga mmoja tu/

TUDUMISHE UMOJA WETU:

Waebrania 10:24 tukaangaliane sisi kwa sisi na kuhimizana katika upendo na kazi nzuri

Mhubiri 4:9,10,12 9 afadhali kuwa wawili kuliko mmoja maana wapata ijara kwa kazi yao

10 kwa maana akianguka mmoja wao atamwinua mwenzake ,lakini ole wake aliye peke yake aangukapo wala hana mngine wa kumuinua........

12hata ikiwa mtu aweza kumshinda yule aliye peke yake ,wawili watampinga wala kamba ya nyuzi tatu haikatiki upesi...


mbarikiwe sanasana ,daima tuombeane

Asante Mkuu Bitoz kwa kuwa mwanzilishi na kutupokea mahali hapa asante wakuu wote mnaoendelea kupafanya mahali hapa kuwa pazuri kwetu wote.

Amen
Amen
 
Hongera sana makapuku kwa safari nzr mlioifanya kwa mwaka mzima!!!

Nahisi kuchelewa kujiunga na kapuku kwa sababu ni sehemu Salama to stay but naamini now nitakuwa nanyi Sana na Mimi mwaka kesho mda kama huu niwe nimetimiza mwaka....

Sitawaangusha na nimetokea kuipenda kapuku kwa kiwango cha juu....

Aliye nileta hapa ananipenda kweli kweli!
 
Asalaam aleykum Kapuku's
Tumsifu Yesu kristo Kapuku's
Bwana Yesu asifiwe Kapuku's
Shalom Kapuku's

Sina mengi ya kuzungumza hapa katika kuadhimisha siku yetu ya leo

Napenda tu kutoa rai kwa Makapuku wenzangu kwamba tudumishe amani, upendo na mshikamano ndio silaha kuu ili kuzidi kuwa bora.

Happy birthday to all Kapuku's for one year.
 
Asalaam aleykum Kapuku's
Tumsifu Yesu kristo Kapuku's
Bwana Yesu asifiwe Kapuku's
Shalom Kapuku's

Sina mengi ya kuzungumza hapa katika kuadhimisha siku yetu ya leo

Napenda tu kutoa rai kwa Makapuku wenzangu kwamba tudumishe amani, upendo na mshikamano ndio silaha kuu ili kuzidi kuwa bora.

Happy birthday to all Kapuku's for one year.
Ameniiiiiiiii mwekahazina
 
1992 - Mahakama nchini Marekani inamtia hatiani na kumuhukumu miaka 30 jela Kiongozi wa zamani wa Panama, Manuel Noriega kwa kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya enzi za utawala wake.

Noriega alikuwa ni kibaraka wa CIA lakini walivyotofautiana tu wakamtoa madarakani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom