Makapuku Forum

Makapuku Forum

Michezo..
7cc9a307749d57213706cb9fa6a4926d.jpg

Yanga SC 1-0 MC Alger

Mtaji wa goli moja ni mzuri kwa maana ya kutangulia ila ni mtaji mdogo kwa maana ya mchezo ujao anakuwa mgeni kule uarabuni Algeria...

Performance yenye ubora kutoka kwa Yanga imewafanya wapate matokeo ila imetoa pia burudani.. . GL ukifanikiwa kukifanya kile ulichokifanya kule Zambia unaweza kufika mbele zaidi..
Aksante Mkuu tutajitahidi
 
HAPPY ONE YEAR ANNIVERSARY THANK YOU LORD FOR BRINGING US THIS FAR ..ASANTE MUNGU KWA UMOJA ,UPENDO,MSHIKAMANO,MAELEWANO ,KUJALIANA NA TUNAOMBA UTUJALIE UZIMA ILI TUWEZE KUDUMISHA MSHIKAMANO HUU..ASANTE SANA WOTE WALIOANZISHA JUKWAA HILI NA WANAOSIMAMIA KWA UPENDO NAJISIKIA AMANI KUWA MAHALI HAPA NASHUKURU SANA KWA NAMNA TUNAVYOCHUKULIANA KWA UPENDO..WE BELONG TO EACH OTHER..THANK YOU LORD

1.Mahali ni pazuri ndugu wanapokaa,
/wakipatana vema na wakipendana/

2.Kama umande mzuri unyweshavyo shamba,
/hivyo na Mungu wetu abariki ndugu/

3.Upendano hujenga boma zuri kwao,
/wakae kwa amani waliookoka/

4.Na ulimwengu wote wavutwa nuruni,
/halafu kundi moja na mchunga mmoja tu/

TUDUMISHE UMOJA WETU:

Waebrania 10:24 tukaangaliane sisi kwa sisi na kuhimizana katika upendo na kazi nzuri

Mhubiri 4:9,10,12 9 afadhali kuwa wawili kuliko mmoja maana wapata ijara kwa kazi yao

10 kwa maana akianguka mmoja wao atamwinua mwenzake ,lakini ole wake aliye peke yake aangukapo wala hana mngine wa kumuinua........

12hata ikiwa mtu aweza kumshinda yule aliye peke yake ,wawili watampinga wala kamba ya nyuzi tatu haikatiki upesi...

mbarikiwe sanasana ,daima tuombeane

Asante Mkuu Bitoz kwa kuwa mwanzilishi na kutupokea mahali hapa asante wakuu wote mnaoendelea kupafanya mahali hapa kuwa pazuri kwetu wote.

Amen
Mamamchungaji!!!!! Amina sana... Ahsante pia
 
Hongera sana makapuku kwa safari nzr mlioifanya kwa mwaka mzima!!!

Nahisi kuchelewa kujiunga na kapuku kwa sababu ni sehemu Salama to stay but naamini now nitakuwa nanyi Sana na Mimi mwaka kesho mda kama huu niwe nimetimiza mwaka....

Sitawaangusha na nimetokea kuipenda kapuku kwa kiwango cha juu....

Aliye nileta hapa ananipenda kweli kweli!
Tunakupenda mkuu karibu
 
Pamoja mkuu sote ni ndugu
 
HAPPY ONE YEAR ANNIVERSARY THANK YOU LORD FOR BRINGING US THIS FAR ..ASANTE MUNGU KWA UMOJA ,UPENDO,MSHIKAMANO,MAELEWANO ,KUJALIANA NA TUNAOMBA UTUJALIE UZIMA ILI TUWEZE KUDUMISHA MSHIKAMANO HUU..ASANTE SANA WOTE WALIOANZISHA JUKWAA HILI NA WANAOSIMAMIA KWA UPENDO NAJISIKIA AMANI KUWA MAHALI HAPA NASHUKURU SANA KWA NAMNA TUNAVYOCHUKULIANA KWA UPENDO..WE BELONG TO EACH OTHER..THANK YOU LORD

1.Mahali ni pazuri ndugu wanapokaa,
/wakipatana vema na wakipendana/

2.Kama umande mzuri unyweshavyo shamba,
/hivyo na Mungu wetu abariki ndugu/

3.Upendano hujenga boma zuri kwao,
/wakae kwa amani waliookoka/

4.Na ulimwengu wote wavutwa nuruni,
/halafu kundi moja na mchunga mmoja tu/

TUDUMISHE UMOJA WETU:

Waebrania 10:24 tukaangaliane sisi kwa sisi na kuhimizana katika upendo na kazi nzuri

Mhubiri 4:9,10,12 9 afadhali kuwa wawili kuliko mmoja maana wapata ijara kwa kazi yao

10 kwa maana akianguka mmoja wao atamwinua mwenzake ,lakini ole wake aliye peke yake aangukapo wala hana mngine wa kumuinua........

12hata ikiwa mtu aweza kumshinda yule aliye peke yake ,wawili watampinga wala kamba ya nyuzi tatu haikatiki upesi...

mbarikiwe sanasana ,daima tuombeane

Asante Mkuu Bitoz kwa kuwa mwanzilishi na kutupokea mahali hapa asante wakuu wote mnaoendelea kupafanya mahali hapa kuwa pazuri kwetu wote.

Amen
Ameen kubwa mama... Na Shukulu na kuona wimbo wangu wa nguvu wa siku zote!!!

MUNGU akubaliki mama mchungaji

MUNGU atubaliki makapuku!!!
 
Wakuu kumekuchaa salama ..tumshukuru aliye juu kwa kutuwezesha kuiona Siku hii muhimu kwetu kwa kafikisha mwaka mmoja ,tunawashukuru founder wote mkuu rais Bitoz asante sana kwa kutuwezesha na sisi tukawa na Sehemu yetu ya kujitawala ...shukrani balozi Bitoz na kapuku wote

Nikiri wazi kuwa Mimi hili jukwaa limekuwa faraja kwangu nikiwepo humu najihisi amani

Unbelievable facts ; makapuku anniversary imeshare na birthday ya MWANANGU Siku ya Leo ..kwa nini nisiipende kapuku ???

Shukrani wakùu

d7fc4ee37e5e47e123317bfb5cc37419.jpg
pamoja sana mkuu
 
::Familia ya baba wa taifa wamkemea Diamond!::
Wamtaka atoe picha ya Mw. Nyerere Kutoka kwenye Uchafu wake...Tanzagiza tulishatoa wito huu...Hapo Chacha!
Na tukasema kama anataka awaweke wauza sura wenzake Bashite na ba wake Pombe
Sema kama anawaheshimu sana basi amweke
Mwakyembe.

Mtoto wa Nyerere amemtaka Diamond aondoe picha ya marehemu baba yake kwenye cover ya wimbo wake Mara moja sababu ni kinyume na sheria za nchi kutumia picha Hiyo, pili baba yake hakuwa mtu wa kukaa kimya watanzania waliponyanyasika kwa njia yoyote ile

Na Diamond nae vipi??
Swali la kizushi lililozagaa kila kona hapa nchini; Je hivi Bashite anampa nini Pombe mpaka hajitambui?
Daudi Albert Bashite anatakiwa awe Gerezani sio ofisini!
[HASHTAG]#pombesiochai[/HASHTAG]
[HASHTAG]#mwafa[/HASHTAG]
[HASHTAG]#usirudiekosa2020[/HASHTAG]
Copied from Tanzagiza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom