Word!! [emoji120] [emoji120] [emoji120]NUKUU YA LEO
The key to successful leadership today is influence, not authority.
Ufunguo wa mafanikio ya uongozi wa leo ni ushawishi, sio mamlaka
Haya maneno yalipatwa kutamkwa na mwandishi mmarekani , mbobezi wa masuala ya uongozi na mshauri wa masuala ya uongozi Bwana Kenneth Blanchard aliyezaliwa tar. 5/6/1939.
Ken amekuwa akiandika makala na vitabu kuhusu uongozi, Moja ya kazi zake nzuri ni zile za ;
1. The one minute manager
2. The secret; what great leaders know-and do
3. Refire and fire
Ushawishi ndio unachukuliwa kuleta mafanikio kwa kiongozi yeyote ...! Jamii inahitaji mtu anatumia ushawishi kuongoza ! Hatutaki mamlaka.., yeyote anaweza kupewa mamlaka ua kujitwalia mamlaka..
Morning motivational;
Jifunze kuwa mshawishi ktk maisha yako..! Taka kuonekana wa tofauti ktk jamii, be potential ! Be influncial.
Transcend.
[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji173]I love you my heroine!
You are everything to me..
Kisses [emoji131][emoji131]
Awwwwwh![emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji173]
Have you by my side, I forget all my problems!!!
Umerudisha mwanga kwenye maisha yangu Transcend, I have nothing to pay you more than my love for you!!!
Nakupenda Nakupenda Nakupenda till my last breath!!!
In short mkuuVipi mzee wa Empire series tupe nawe yako kuhusu hiyo Empire
Ni leo au kesho ???Leo ni mwaka mmoja tangu thread ianzishwe
Statistics zipo hivi,
150+K replies
1.8 M ,views
Mxwakani ikitimitza 2 yrs sijui itakuwaje
......
Hongera[emoji120]Leo ni mwaka mmoja tangu thread ianzishwe
Statistics zipo hivi,
150+K replies
1.8 M ,views
Mxwakani ikitimitza 2 yrs sijui itakuwaje
......
Replies zinakimbilia 160k now..Leo ni mwaka mmoja tangu thread ianzishwe
Statistics zipo hivi,
150+K replies
1.8 M ,views
Mxwakani ikitimitza 2 yrs sijui itakuwaje
......
Pamojaaa mkuuuNimekosea
Ni kesho 9/4 sio mbaya lkn
.....
Mkuu huu uzi unachekesha sanaReplies zinakimbilia 160k now..
Tena leo jioni tunaweza fikisha 160k
Post ziko 159,000 by today..
Ktk hali ya kawaida yawekekana memberz wakaongeza mara mbili ya sasa hivi..manake watu active humu hawazidi 25..
Lest mwakani wakawepo 60 active..
Hizo post zitadouble..zitafika laki 3 au 4 kabisa..
Replies zitadouble pia, 350k...
Let's have glass of wine [emoji485]and watch the forum growing..
BabeAwwwwwh!
Baasi babe's! Unataka nitoe chozi..
I love you my everything..
Shalom mkuu ubarikiwe[emoji120]Habari ya asubuhi Kapuku's
Good morning Kapuku's
Bom dia Kapuku's
Bonjour Kapuku's
Shalom Kapuku's
Ni siku nyingine tena tumepewa na Muumba wa mbingu na nchi si kwa kuwa tumekuwa wema kwake Bali ni kwa rehema zake ili tuweze kumsifu na kumtukuza yeye.
Ewe Mungu baba ukakae nasi sote familia ya kapuku utupatie nguvu na uwezo wa kupambana na vikwazo vilivyo mbele yetu, tunakuomba baba ukawanyooshee mkono wako wa baraka wagonjwa wote waliopo mahospitalini na majumbani, pia ukalibariki taifa letu na dunia yote kwa ujumla.
Tunaomba hayo kwa njia ya mwanao mpendwa Yesu kristo Amen.
Sawa mkuuMuite mchuchu mama mchungaji mbona unaficha ficha
Milele AminaTumsifu Yesu kristo
R.I.P1943 - Wanandoa Otto Hampel na Elise Hampel wananyongwa huko Berlin nchini Ujerumani baada ya kukosoa utawala wa Dikteta Adolf Hitler.
Asante kwa nukuu mkuu uwe na siku njemaNUKUU YA LEO
The key to successful leadership today is influence, not authority.
Ufunguo wa mafanikio ya uongozi wa leo ni ushawishi, sio mamlaka
Haya maneno yalipatwa kutamkwa na mwandishi mmarekani , mbobezi wa masuala ya uongozi na mshauri wa masuala ya uongozi Bwana Kenneth Blanchard aliyezaliwa tar. 5/6/1939.
Ken amekuwa akiandika makala na vitabu kuhusu uongozi, Moja ya kazi zake nzuri ni zile za ;
1. The one minute manager
2. The secret; what great leaders know-and do
3. Refire and fire
Ushawishi ndio unachukuliwa kuleta mafanikio kwa kiongozi yeyote ...! Jamii inahitaji mtu anatumia ushawishi kuongoza ! Hatutaki mamlaka.., yeyote anaweza kupewa mamlaka ua kujitwalia mamlaka..
Morning motivational;
Jifunze kuwa mshawishi ktk maisha yako..! Taka kuonekana wa tofauti ktk jamii, be potential ! Be influncial.
Transcend.
Sijambo mkuu siku njema kwakoUmeamkaje bibie..
Hope uko mzima wa afya eeeh!!
R.I.P Arthur Ashe,alifariki mapema sana 1 year tu au hakunywa ARVs ,Au alijua too late...maswali mengi.1992 - Mchezaji bora wa zamani wa Tennis kutoka nchini Marekani, Arthur Ashe anajitangaza kuwa ni muathirika wa ugonjwa wa UKIMWI.
Anatajwa kama mmoja wa wacheza Tennis kuwahi kutokea.
Ashe anakuja kufariki mwaka mmoja baadae yaani mwaka 1993.
Baada ya kifo chake, Rais wa Marekani wa Kipindi hiko Bill Clinton anampa tuzo ya heshima ya kitoka kwa Rais. ( President Medal of Freedom ).
Good morning mkuu Bitoz siku njema,tutaitafuta.Movie mpya ipo sokoni itafuteni
Good morning all
.....