Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hii inaitwa mwana ukome
 
Attachments

  • IMG-20170407-WA0048.jpg
    IMG-20170407-WA0048.jpg
    14.2 KB · Views: 25
1966 - Mazinho anazaliwa.

Ni mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Brazil kilichotwaa ubingwa wa kombe la dunia mwaka 1994 pale Marekani.

Ni baba mzazi wa Thiago Alcantara wa Bayern Munich na Rafinha wa Barcelona.
HBD Mazinho
 
Mkuu huu uzi unachekesha sana
Kuna kipindi unaweza fikiri thread inakufa lakini ghafla wanaibuka makapuku wapya wenye hasira wanakinukisha mbaya

Mi nilikaa chini nikishirikiana na Baily5 nikaamua kuleta kitu ambacho kitaiteka Jf nzima baada ya kugundua watu wengi wamekosa sehemu ya kupiga stori kwa uhuru badala yake wanaharibu thread za watu kwa kuanzisha mazungumzo yao binafsi nje ya mada
sasa thread za members maarufu mtu ukiingia kupiga stori ilikuwa ni km unajipendekeza maana unapotezewa mazima yaani wanapeana kick kivyao wkt hawana swaga

.......
Hongereni kwa kuliona hilo
 
hongereni sana kwa kubuni hii kitu mmetusaidia na sisi wengine kujiachia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom