Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
ahaaaaaah kweliii kabisaaTurudishiwa ROMA tuwape Diamond na Wolper
![]()
![]()
![]()
..
ahaaaaaah kweliii kabisaaTurudishiwa ROMA tuwape Diamond na Wolper
![]()
![]()
![]()
..
Ukienda kwenye thread ya mtu ukapiga stori unakula ban sasa hivi..Mkuu huu uzi unachekesha sana
Kuna kipindi unaweza fikiri thread inakufa lakini ghafla wanaibuka makapuku wapya wenye hasira wanakinukisha mbaya
Mi nilikaa chini nikishirikiana na Baily5 nikaamua kuleta kitu ambacho kitaiteka Jf nzima baada ya kugundua watu wengi wamekosa sehemu ya kupiga stori kwa uhuru badala yake wanaharibu thread za watu kwa kuanzisha mazungumzo yao binafsi nje ya mada
sasa thread za members maarufu mtu ukiingia kupiga stori ilikuwa ni km unajipendekeza maana unapotezewa mazima yaani wanapeana kick kivyao wkt hawana swaga
![]()
![]()
![]()
![]()
.......
ahaaaaaah kweliii kabisaaTurudishiwa ROMA tuwape Diamond na Wolper
![]()
![]()
![]()
..
Ahsante mkuu ngpja niipakue nikipata dabo bando.Sasa hivi inakuwa kali manake scofield/kaniel outis ameungana na ISIS kina linc na C-note wanataka wamtoe gerezani jamaa amewakana na anadai hawafahamu..
T -bag anapatiwa prosthetic Hand ambao unafanya kazi kama mkono wa kawaida baada ya kukatwa mkono na John Abruzzi wakati wanatoroka Fox river..
T-bag anagundua kuwa matibabu hayo yamelipia na mtu anajiita Outis ambaye ndie michael scofield
Imekaa patamu...
Mondray atakuwa amenielewa hapa.
Amina!Asante kwa nukuu mkuu uwe na siku njema
Bones from my bones and flesh from my fleshes.!Babe
Nshakuambia siku ukilia mie ntazimia!!! Naomba usije ukanizimisha sweetheart!!!
Mie wako tuu!!!
Sawa mkuu..Ahsante mkuu ngpja niipakue nikipata dabo bando.
Into the badlands ina dakika ngap maana niliyonayo episode inaishia dk 23.Sawa mkuu..
Una utani na shunieUkienda kwenye thread ya mtu ukapiga stori unakula ban sasa hivi..
Bora hapa kijiweni kwetu makapuku..!
_*Wiki mbili baada ya harusi,Mama alimuuliza Bintiye,Vp maisha ya ndoa? mtoto akajibu, Du kama British Airways. Mama akatoka mpk airport kuangalia ratiba akakuta inatua kwa wiki mara 7, na ktk kila siku 1 inaenda trip 3, na ktk kila trip 1 inasimama vituo 7 na kila ikitua inafikia nyuma ya uwanja. Mama akazimia.*_
�
�
![]()
NakupendaBones from my bones and flesh from my fleshes.!
Mimi na wewe milele..
ShkamoUna utani na shunie
Shkamohongereni sana kwa kubuni hii kitu mmetusaidia na sisi wengine kujiachia
Ooooooooh marhaba shem kipenziiiiiiShkamo
Hivi kwani TumegombanaOoooooooh marhaba shem kipenziiiiii
Kivipiiii jamanii dearHivi kwani Tumegombana
Kweli shem kuhusu thread kufa haitokuja kutokeahongereni sana kwa kubuni hii kitu mmetusaidia na sisi wengine kujiachia
Yani hapa ni mwisho wa ban hakuna hustory mbaya ya mtu kupigwa ban ataUkienda kwenye thread ya mtu ukapiga stori unakula ban sasa hivi..
Bora hapa kijiweni kwetu makapuku..!