NUKUU YA LEO
The key to successful leadership today is influence, not authority.
Ufunguo wa mafanikio ya uongozi wa leo ni ushawishi, sio mamlaka
Haya maneno yalipatwa kutamkwa na mwandishi mmarekani , mbobezi wa masuala ya uongozi na mshauri wa masuala ya uongozi Bwana Kenneth Blanchard aliyezaliwa tar. 5/6/1939.
Ken amekuwa akiandika makala na vitabu kuhusu uongozi, Moja ya kazi zake nzuri ni zile za ;
1. The one minute manager
2. The secret; what great leaders know-and do
3. Refire and fire
Ushawishi ndio unachukuliwa kuleta mafanikio kwa kiongozi yeyote ...! Jamii inahitaji mtu anatumia ushawishi kuongoza ! Hatutaki mamlaka.., yeyote anaweza kupewa mamlaka ua kujitwalia mamlaka..
Morning motivational;
Jifunze kuwa mshawishi ktk maisha yako..! Taka kuonekana wa tofauti ktk jamii, be potential ! Be influncial.
Transcend.