Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
hahahhh shedede akiona tommy na jerry anacheka sana
hahahh ww ndio unaanza halaf mm nafatia umenifundisha mwenyewe ujue kuwa kivuruge![]()

Mkehahahhh akiwa kivuruge nan mume au
hahahha na mume atapata kivuruge tu
NomaaaaaaaSasa hivi inakuwa kali manake scofield/kaniel outis ameungana na ISIS kina linc na C-note wanataka wamtoe gerezani jamaa amewakana na anadai hawafahamu..
T -bag anapatiwa prosthetic Hand ambao unafanya kazi kama mkono wa kawaida baada ya kukatwa mkono na John Abruzzi wakati wanatoroka Fox river..
T-bag anagundua kuwa matibabu hayo yamelipia na mtu anajiita Outis ambaye ndie michael scofield
Imekaa patamu...
Mondray atakuwa amenielewa hapa.
ahhhaha amrudishe tu ray vanny kama katoa ya mttoNa huyu tenaaa
![]()
![]()
![]()
![]()
kweli kabisaNi mke mwenza wa Bashite
Huoni kasaini mkataba GSM Mall pia Bashite ndio mlezi wa WCB....Japo mimi ni shabiki pia dansawake mmoja ni swahiba wangu lakini kwa hili anapotea
Wimbo utapotezewa vituoni maana mashairi ni km kaandikiwa na Bashite ili ajisafishe
Kumbuke Bashite siku zinavyozidi ndo skendo na maadui wanaongezeka halafu watetezi wake wanapungua sasa watavaki WCB na Le Mutuz wote low IQ hawaiwezi hii vita
. .....
Wewe jee ??hahahhh shedede akiona tommy na jerry anacheka sana
hahahhhh nimekufundisha mm kweli nipo pm ujue naona kimya usiniambie ulikua unanitaniaWewe jee ??
Ndo umenifundisha ujue
Tatizo ni ndefu season ya tano sasa hiyo acha tu iende nitaanza kuifuatilia Six ni nzuri hadithi yake pia ina episodes 8 tu hiyo ndio nzuriPole mkuu..
Its the best series ever!
Nshafunguaahahahhhh nimekufundisha mm kweli nipo pm ujue naona kimya usiniambie ulikua unanitania
Mweeeehuuu wewe nakujua hushindwiiiiiahhhaha amrudishe tu ray vanny kama katoa ya mtto
Na kweli hapo umeniacha njia panda ulayaSasa hivi inakuwa kali manake scofield/kaniel outis ameungana na ISIS kina linc na C-note wanataka wamtoe gerezani jamaa amewakana na anadai hawafahamu..
T -bag anapatiwa prosthetic Hand ambao unafanya kazi kama mkono wa kawaida baada ya kukatwa mkono na John Abruzzi wakati wanatoroka Fox river..
T-bag anagundua kuwa matibabu hayo yamelipia na mtu anajiita Outis ambaye ndie michael scofield
Imekaa patamu...
Mondray atakuwa amenielewa hapa.
Vipi mzee wa Empire series tupe nawe yako kuhusu hiyo EmpireNomaaaaaaa
Season ipo mkuu hiyo naijua kama Baba yetu aliye mbinguniiVipi mzee wa Empire series tupe nawe yako kuhusu hiyo Empire

















�
�
Morning too brodaMorning shem wane wa ukweli
Nafurahi kusikia u mzima hubby!!Morning sweetie love..
Morning my world..
Hope umeamka salama mama..
Niko pouwa ! Mzima wa afya..!
Keeep smilling mamie..!
Always and forever yours.
I love you my heroine!Nafurahi kusikia u mzima hubby!!
Namshukuru Mungu kukuleta kwenye maisha yangu mpenzi, nakupenda that's what I can say for now!!!!
Karibu chai mume wa Sakayo!!!

