BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Pumzika kwa amani Stevene Kayumba2012 - Steven Kanumba anafariki Dunia.
Ni muigizaji nguli na mashuhuri kuwahi kutokea nchini Tanzania.
Mazingira ya kifo chake yamebaki ya kutatanisha mpaka leo.
Toka afariki, tasnia ya filamu imeyumba kwa kiasi kikubwa.
Sijui waafrika tuna Shida gani!!!Waafrika tunajali zaidi matumbo yetu badala ya afya zetu na heshima au maslahi ya Taifa....
mwangalie Mrema kang'ang'ania sijui Uenyekiti wa wanyamapori na yule Makamu wa Rais Zenji japo kuongea tu kwao ni shida
...
Mungu awapumzishe kwa amani.- Leo ni siku ya kuwakumbuka waliopoteza Maisha katika mauaji ya Kimbari nchini Rwanda.
Oohps!Upo sahihi mkuu, hata wale wa kaunda suti mtiririko uko hivyo.
Wanalinda maiti???Huo ulinzi wakati wa mazishi ya Mzee Karume si mchezo.
Afya ni mtaji tupime afya zetu- Ni siku ya Afya Duniani.
1954 - Jackie Chan anazaliwa.
Staa wa filamu za mapigano kutoka Hong Kong.
Baadhi ya kazi zake ni Police Story, Mr Nice Guy, Who Am I? Nk
Asante sana sana mkuu Mussolin5 ni mambo mengi muhimu kukumbuka,siku njema ubarikiweLeo katika Historia:
Niwatakie siki njema.
MmmhNjia ya muongo ni fupi.....
Hapo kwa uchumba penyewe alikuwa anasita
Ndo ushangae sasaWanalinda maiti???
Ulikuwa hujui eeeh!!!!Oohps!
Good to know this..!
Ameng'aa kipindi kibayaHe is underrated!
Sababu tunakula sana ugaliSijui waafrika tuna Shida gani!!!
Kuna nchi zipo mbalimbali ila zina muingiliano wa lugha na vizaziMmh..
Jina na sura ni kama ana asili ya japan
Mama Pastor Tumsifu Yesu Kristo
NaaminiHahahaaaa!
Hii week ya makapuku! Nimekuwa mkweli..! Believe me.
Mshindi wa tuzo ya heshima ya Oscar1954 - Jackie Chan anazaliwa.
Staa wa filamu za mapigano kutoka Hong Kong.
Baadhi ya kazi zake ni Police Story, Mr Nice Guy, Who Am I? Nk
Mambo!Hello
Huyo ni Mtanzania pure wa kuzaliwa1961 - Brigitte Van Der Burg anazaliwa jijini Tanga, Nchini Tanzania.
Ni mbunge katika Bunge la Nchi ya Uholanzi.
Morning jooh!Mambo!