Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
KakaSakayo dadangu Nakupenda sana:
Naomba nikushauri kitu na unisikilize mimi kakako.
-nimeamini Trancsend akupenda
-mpe nafasi tena
-usiwe mjinga kuacha dhahabu kisa imedondokea matopeni, ifute ichukue thamani yake iko pale pale
-uwe jasiri kutetea na kulinda hisia zako na asikutibulie mtu.
Sahau yalopita chukua kitu chako songa mbele
Unanipenda kweli???

