[emoji115][emoji115] fakalava huyo..
Clkey kamjibu fakalava [emoji115]
Fakalava anamjibu clkey [emoji115]
Clkey anamjibu fakalava[emoji115]
Convo zinaendelea [emoji115]
[emoji115][emoji115][emoji115]
Hapa Clkey anakuja kuniharibia conversation yangu na Sakayo.
Sasa Sakayo Naamini umeona haka kamchezo kanavyofanya mama..
Clkey anakuchezea akili mama, Clkey yupo na Fakalava..nimekusanya hii convo nikuoneshe ukweli wa mambo..
Please Sakayo wangu! Please Utamu wangu! Please roho yangu...
Rudi mke wa maisha yangu...!