Makapuku Forum

Makapuku Forum

Sakayo dadangu Nakupenda sana:
Naomba nikushauri kitu na unisikilize mimi kakako.
-nimeamini Trancsend akupenda
-mpe nafasi tena
-usiwe mjinga kuacha dhahabu kisa imedondokea matopeni, ifute ichukue thamani yake iko pale pale
-uwe jasiri kutetea na kulinda hisia zako na asikutibulie mtu.
Sahau yalopita chukua kitu chako songa mbele
GOOD BOY.
Ushauri mzuri.
 
fakalava huyo..

Clkey kamjibu fakalava

Fakalava anamjibu clkey

Clkey anamjibu fakalava

Convo zinaendelea



Hapa Clkey anakuja kuniharibia conversation yangu na Sakayo.

Sasa Sakayo Naamini umeona haka kamchezo kanavyofanya mama..

Clkey anakuchezea akili mama, Clkey yupo na Fakalava..nimekusanya hii convo nikuoneshe ukweli wa mambo..

Please Sakayo wangu! Please Utamu wangu! Please roho yangu...

Rudi mke wa maisha yangu...!
Hahaha ww naona ushachanganyikiwa hujui hta kiswahili
Ss hili sakata halitaisha labda uniombe uchepuke basi lkn ukijidai hamnazo mm hamnazo zaidi yenu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom