Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hapana usiseme hivo clkey ni kapuku mkubwa humu anajua utanii na kuna mda tukitaniana humu mtu anaweza sema tuko siliasi si unajua wengine huku ndo faraja yetu pakipoa tunatafuta chochote challenges ,kero n.k

Plz nakuomba mara ngapi nakwambia uzoee utani wetu plz shemu plz

Bhasi unataka wote tuame kapuku


Au unataka mdogo wako anikimbiee plz najutia utani wangu
Shem
Kwa nini unashindwa kunielewa, mie Sina shaka na wewe. Mdogo wangu anakupenda sana, na naomba nisiwe sababu ya kusambaratisha forum yenu
 
hahahh sio vita mm nimeuliza tu naonaga tu swala la kujibebisha kwao ni big no naona ukiwa nao chumbani utaambiwa oyaa nimeshavua nguo njo sasa
Toka umeanza jibebisha umepat nn labda kwa mfano?
Helo helo hhah usingemdanganya shem yako kma umeachana na shemela wngu hahahaha ili uwe nae
 
Sakayo dadangu Nakupenda sana:
Naomba nikushauri kitu na unisikilize mimi kakako.
-nimeamini Trancsend akupenda
-mpe nafasi tena
-usiwe mjinga kuacha dhahabu kisa imedondokea matopeni, ifute ichukue thamani yake iko pale pale
-uwe jasiri kutetea na kulinda hisia zako na asikutibulie mtu.
Sahau yalopita chukua kitu chako songa mbele
 
Hapana usiseme hivo clkey ni kapuku mkubwa humu anajua utanii na kuna mda tukitaniana humu mtu anaweza sema tuko siliasi si unajua wengine huku ndo faraja yetu pakipoa tunatafuta chochote challenges ,kero n.k

Plz nakuomba mara ngapi nakwambia uzoee utani wetu plz shemu plz

Bhasi unataka wote tuame kapuku


Au unataka mdogo wako anikimbiee plz najutia utani wangu
Mara ya kwanza Lee anaunga mkono kile T anachokiamini..

Mwambie Sakayo ni utani bhana.
 
Shemu hakika T ni mwanaume wa pekee nimemchallenge naona kweli anakufaa sana really anakupenda najua na wewe unampenda ila kila mara huwa nakwambia kapuku tuna utani mwingi


Nisamehe mm nimekosea sana ila sikujua kama itakuwa hivi kiukweli ulikuwa utani wetu wa kawaida na mm huwa ananitania hivo

Plz and plz kwa heshima yangu kwako tusamehe rudisha moyo mama

Mdogo wako kachukia hajapenda utani wangu

Na jana tulifanya kukimbiza Uzi wetu kulikuwa kumepoa sana


He need and love u

Plz sakayo
Kiruuuu kumbe kuna mapenz ya kweli hhahahahhaha Yesu nafwaa mie
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom