shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
MkuuMambo!
MkuuMambo!
Nshamsamehe Kakangu jamaniSakayo popote ulipo msamehe mdogo wangu T
Unaelewa vzr snaaaa najua unaju kwa hyo acha kujitoa fahamusina ata nilichoelewa tulia uandike vizuri
Asante kwa kunisamehe mke wangu...Shunie mamy, mbona nlimsamehe siku ile ile jamani!!!
Yeye amalizane na mtu wake tuu
BadilikaClkey..
Unataka nibadilike eeh?
Unataka nivae utu wa mababu zangu?
Kiruuuu kumbe kuna mapenz ya kweli hhahahahhaha Yesu nafwaa mie
kuwa silias bhasiii ndoa inanukia
Mke gan sasa wa AsprinSidhani kama Aspirin atakubali kuporwa mkewe kizembe.
Yeah vp nyinyi humuUko poa lakinii
sipendi mmHupendi bolded fonts
Mhhhhmhhh kwa kuvizia tu hujambo
sina nilichoelewa wala sijitoi ufahamu naona watu mpo serious aisee nilikua sijuiUnaelewa vzr snaaaa najua unaju kwa hyo acha kujitoa fahamu
Ayaa ss ww ndo shemej yangu auhivi si umwalibie tu wengine tuna moyo wa chuma
wanaume hatuna dhamana atii tunajijua wenyewelee mtoe
Hakika nakupenda zaidi ya kutamkaKaka
Unanipenda kweli???
naomba unisikilize, mpe T neno la msamaha, huyu kijana ni wa maana sana, alipitiwa na shetwani tu.
A'm declaring love war with you..!Hahaha ww naona ushachanganyikiwa hujui hta kiswahili
Ss hili sakata halitaisha labda uniombe uchepuke basi lkn ukijidai hamnazo mm hamnazo zaidi yenu