Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Mkuu mondray nipe hata kibarua hapo home,mshahara ni kumuona ukhuty tu ni malipo tosha kabisa

Mkuu mondray nipe hata kibarua hapo home,mshahara ni kumuona ukhuty tu ni malipo tosha kabisa

Uchochezi huooooNaona nyote mmetuliza wenge
Umekubari kushindwa ??Uchochezi huoooo
Wapi umeona wamenishinda weeeeeUmekubari kushindwa ??
PoazzMamboz
Santeee mekaribiaaaSafiii we are good welcome madame
Alhamdulillah kama mko poaTu -wazima
Wa ikolomije
Huyu atakua wa call me J
Karibu mkuu labda naweza pata tulizo la moyo.Clkey mh..naona ukhuty ataniua kwa pressure maana nna wivu ngoja nichange karata hapa.ili nimsahau Mrs mondrayAlhamdulillah kama mko poa
Sijafunzwa kujibizana, tena mbaya zaidi mbele za watu.Naona nyote mmetuliza wenge
SjaelewaKaribu mkuu labda naweza pata tulizo la moyo.Clkey mh..naona ukhuty ataniua kwa pressure maana nna wivu ngoja nichange karata hapa.ili nimsahau Mrs mondray
Hahahhahahahhahahhah