Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
mmhUsijali utanielewa siku nyingine hiyo imekuwa cumbersome kwako!!
mmhUsijali utanielewa siku nyingine hiyo imekuwa cumbersome kwako!!
nakuona kwenye harakati zako
Hatujambooooooooooo
Nipe code ya location ulipo, niko serious sikuachi.Mamaaaa
Hapana bado napigania penzi langu bwana
Hahahahahah shemela tulia bhnanakuona kwenye harakati zako
Ngoja niongee naye, kidizaini kama kalambishwa limbwata.utakua umefanya la maana sana
Toa ya moyoni kipenzini hivyo kaka si mnajijuaga nyie wenyewe
hahahah umeliona hilo au ndio lile mnaliita vumbi la congo limemchanganyaNgoja niongee naye, kidizaini kama kalambishwa limbwata.
nimemalizaToa ya moyoni kipenzi
Ufafanuzi kidogo hapa wengine fasihi ilipita pembeni!!Sizonje economy![]()
.....
HatujamboHamjambo watu wangu wa nguvu?
Ongeraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaanimemaliza
Sijambo namshukuru MunguBlessedhope mzima!
Amen dada mpendwaSijambo namshukuru Mungu
Hatazinguliwaje na vumbi wakati huku ni natural?hahahah umeliona hilo au ndio lile mnaliita vumbi la congo limemchanganya
DuuuuuuNipe code ya location ulipo, niko serious sikuachi.
kweli kabisa unaonekana hujambo.Hatujambo
Ht mm sielewiUfafanuzi kidogo hapa wengine fasihi ilipita pembeni!!