Baby atakuja kuwajibuOhhhhhh sifa zote zake au kuna kingine jaman
Mkuu, unauliza majibu? Shunienjoo umjibu huyu
![]()
AmenWapendwa naamini mko salama naomba Mungu anyooshe mapito yetu atupe amani furaha na upendo atuondolee magonjwa na changamoto ambazo zinaturudisha nyuma MAKAPUKU tubarikiwe na siku iwe njema .
BasiEnhe
Kwa taarifa atapitaa apo mda si mrefuhahaha na yy mwenyewe atakua ameshasahau
Uko poa madamMambozz hope ya'all good
Sina mda huoBaby atakuja kuwajibu
Sema kweliSina mda huo
Dadeeeeekiii![]()
Mwenye nyumba hataki mchezo mchezo
Niko poa sana hofu kwenuUko poa madam
Mkuu huna mashaka na mmSema kweli
Tu -wazimaNiko poa sana hofu kwenu
Dadeeeeekiii

Karibu mkuu ukitaka kuilewaa ni simple sanaAlafu hii post hata siilewagi sijuwi inahusu nn?
Leo kapuku wameamua kupiga 1k per dayHapa kuna post zaidi ya 130 niwafikie![]()