Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,167
hahahhaah nipo huku ndio nimeweka kambiHuku ndio umeibukia? [emoji23][emoji23][emoji23]
hahahhaah nipo huku ndio nimeweka kambiHuku ndio umeibukia? [emoji23][emoji23][emoji23]
Ah mkuu kumbe wewe umeingia humu leo, ndio maana...subiri kidogo.Hapa macho kodo unaweza hata paramia visivyorika ngoja niwe mpole..ila ukhuty tachelewa sana kumtoa Ku moyo
Na mimi nini mkuu?Na wewe
Hongera sana.. nimedandia thread kwa ubavuni hata nilikuwa sijui nini kinaongelewa.hahahhaah nipo huku ndio nimeweka kambi
Mi mgeni mkuu nishike mkono nisije nikapoteaAh mkuu kumbe wewe umeingia humu leo, ndio maana...subiri kidogo.
hhahahahahHongera sana.. nimedandia thread kwa ubavuni hata nilikuwa sijui nini kinaongelewa.
Ukichangia tu huu uzi unakuwa Kapuku.HIVI TUKO MAKAPUKU WANGAPI?
Pita huku bro.. The top five best couple in JF(MMU)Mi mgeni mkuu nishike mkono nisije nikapotea
Ngoja nikalale zangu aise..hhahahahah
Unataka kuwa msukulee??Na mimi nini mkuu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukichangia tu huu uzi unakuwa Kapuku.
mbona sijaona list yako na ukhuty hapoPita huku bro.. The top five best couple in JF(MMU)
hahahhhhh RogieNgoja nikalale zangu aise..
WoteeHIVI TUKO MAKAPUKU WANGAPI?
Shukrani mkuu..kumbe madame s yupo ndani ya top five[emoji36] [emoji36] [emoji36] moyo sukuma damu si vinginePita huku bro.. The top five best couple in JF(MMU)
Mwambie wewe mke a mtuhhahahahah
kwani amekwambia ananitaka [emoji23]ye kaja kumfata ukhuty wakeMwambie wewe mke a mtu
Unataka kuwa msukulee??