Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,167
hahahahahhhhHatazinguliwaje na vumbi wakati huku ni natural?
hahahahahhhhHatazinguliwaje na vumbi wakati huku ni natural?
[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu moyo tu umemdondokea!!Habari wakuuu mko poa?
Naona kuna watu wanalia humu ajili ya kuachwa.
Halafu kuna mtu nimeona anajipendekeza kwa ukhuty wangu. ONYO.. Kama anataka nimfanye msukule wa kuswaga dagaa ziwani aeendelee.
Pages nyingi sana nimetoa like hadi kidole kimechoka pg 30!! Ur so awesome
Mkuu mapenzi upofu [emoji41] [emoji41] [emoji41][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Anatoa kiungo mshambuliaji anaingiza kipa ili ajihami adifungwe kwa kuweka makipa wawili[emoji23][emoji23][emoji23]
Kujuta radhima mpaka 2020sizonje atoke sio leo[emoji1] [emoji1]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
akili yake anaijua mwenyeweAnatoa kiungo mshambuliaji anaingiza kipa ili ajihami adifungwe kwa kuweka makipa wawili
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
......
Polepole tutafika tu wakuu japo safari ni ndefu na njia ina mabonde na milima mingi,tufunge mikandaakili yake anaijua mwenyewe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unataka uchonganishe¿¿[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kumbe inaumaaaUnataka uchonganishe¿¿
Mm sio kama T.Kumbe inaumaaa
Miii simoooMm sio kama T.
Mkuu hapa ngoja nisivunje ndoa ya watu.ngoja niugulie maumivu kwanza halafu mengine tatoa baada ya machungu kupungua.ila mtoto mzuri ukhuty hapatikani labda ningempa yangu ya moyoni angenielewa hata kwa kushare.
Mpaka nimruhusu ndio anakuja huku.Mkuu hapa ngoja nisivunje ndoa ya watu.ngoja niugulie maumivu kwanza halafu mengine tatoa baada ya machungu kupungua.ila mtoto mzuri ukhuty hapatikani labda ningempa yangu ya moyoni angenielewa hata kwa kushare.