Makapuku Forum

Makapuku Forum

Morning family..!

Leo ni siku nyingine !

Lile ulilopanga jana hakikisha linafanikiwa leo leo..kama kuna ambalo jana hukumaliza hakikisha unalimaliza leo


Morning motivational
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
changamoto ndio mwanzo wa ufumbuzi ..penda sana kuwa mtu wa changamoto.

Face the reality..! Make it happen [emoji123][emoji123][emoji123]
[emoji110] [emoji110] [emoji110]
 
Wakuu hope nyote mnaendelea vizuri ,nimewamisi kiukweli ila soon tutakuwa wote nimebahatisha mtandao kidogo hapa ikakubali kuwasha E

My baby Shunie najua u always on my back but nakumis kiukweli ule ukorofi wako na 'kupanic' [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]


Ila nina mashaka na kamati yangu kama wanafanya kazi[emoji4] [emoji4] [emoji4]

Niulizee jamani Baba mchungaji ashajulikana officially make post zote nimeskip japo inanipa wasiwas kwa wabaya wangu kwa shunie


Mr T and sakayo nawamis

Kisheti ,pimbi,mwekagazina na mzee mkavu souudy vip mshapata wenzenu au mnasumbua wake za watu


[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] nina dk 15
Kisheti jana kazingua kapata kampani yeye akawa anaona aibu kutoa ushirikiano

Mambo mengine yanaenda poa ila kuna jamaa kapanga kufanya mapinduzi makubwa baada ya kwaresma

Ni hayo tu
 
Back
Top Bottom