Makapuku Forum

Makapuku Forum

Vile Mondray akifurahia Transcend kutishia kujitoa siku 7 ili amchukue Sakayo
10979528_839612049432841_709372354_n.jpg
Hahahaha!
 
Leo katika Historia:

1990 - Rais wa Marekani George H.W. Bush anampatia Medali/Nishani ya dhahabu mwanariadha wa Nchi hiyo Marehemu Jesse Owens kwa mchango wake katika riadha na kuipelekea sifa kubwa nchi yake.

Nishani hizo ambazo hutolewa na Rais hujulikana kama Congressional Gold Medal ambazo hupewa kwa watu mbalimbali nchini humo katika kutambua michango yao katika Nchi.

Tuzo ya Jesse ilipokelewa na Familia yake kwakuwa yeye mwenyewe alishafariki Dunia.
3a9ddc3dd2a6d871aba0e13f74e18b54.jpg
26c3c0ae027d156cda48b40a10fbde76.jpg
4c9f364aa0f238e0a674fd5ff5db49fe.jpg
d9b5a20027519c2e59047bd00e81f3f0.jpg
Nakumbuka Olympic alivyomnyamazisha Hitler
......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom