Shadrack K. Lwila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 4,925
- 14,294
Wakuu habar za asubuhi
Am fineAm good, how about you!!!
Weka na shedede a.k.a soudySnipes
Mondray
Papupi
Ukhuty
Transcend
Blessed hope
Shunie
Sakayo
Bitoz
Mussolin5
Lee Empire
Emmyta
Queen Kan
Livi Livinus
Tentramelzy
Obe
Werasson
Baily5
Nyagei
NAWAPENDENI SANA
Morning utamu wangu!Hubby
Naamini umeamka salama mume wangu.
Najua ni kiasi gani wanipenda, Wala haiitaji elimu ya PhD kuligundua hilo.
Ntunzie tu penzi langu ndo la muhimu, Sina moyo wa kuweza kuvumilia maumivu ya usaliti mume wangu.
Nakupenda, Naomba nkakutengee maji ya kuoga tuyawahi majukumu.
Mornie my lovely husband!!!

Mondray upite hapa!Please
Ni wewe tuu kwenye hii dunia, waliobaki nawaona kama Kaka zangu tuuu















Morning family..!
Leo ni siku nyingine !
Lile ulilopanga jana hakikisha linafanikiwa leo leo..kama kuna ambalo jana hukumaliza hakikisha unalimaliza leo
Morning motivational
changamoto ndio mwanzo wa ufumbuzi ..penda sana kuwa mtu wa changamoto.
Face the reality..! Make it happen![]()

Lini hii? Mwanasiasa Bhana!!!
Picha ni ya muda kidogo.Lini hii? Mwanasiasa Bhana!!!
Picha ni ya muda kidogo.
Wkt anakipigania chama ili Sizonje awe Rais na yy mbungeLini hii? Mwanasiasa Bhana!!!
tunakupenda pia NyageiSnipes
Mondray
Papupi
Ukhuty
Transcend
Blessed hope
Shunie
Sakayo
Bitoz
Mussolin5
Lee Empire
Emmyta
Queen Kan
Livi Livinus
Tentramelzy
Obe
Werasson
Baily5
Nyagei
NAWAPENDENI SANA
Binamu hongera kwa 151kNgoja nami niote sasa. Baadaye wadau Makapuku