Makapuku Forum

Makapuku Forum

d4068d47ce0c4da2e3fb64429343922c.jpg
 
Wakuu hope nyote mnaendelea vizuri ,nimewamisi kiukweli ila soon tutakuwa wote nimebahatisha mtandao kidogo hapa ikakubali kuwasha E

My baby Shunie najua u always on my back but nakumis kiukweli ule ukorofi wako na 'kupanic' [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]


Ila nina mashaka na kamati yangu kama wanafanya kazi[emoji4] [emoji4] [emoji4]

Niulizee jamani Baba mchungaji ashajulikana officially make post zote nimeskip japo inanipa wasiwas kwa wabaya wangu kwa shunie


Mr T and sakayo nawamis

Kisheti ,pimbi,mwekagazina na mzee mkavu souudy vip mshapata wenzenu au mnasumbua wake za watu


[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] nina dk 15
Tunakumiss pia mkuu..

Princess S anakusalimu..

Shunie yupo pouwa wala hakuna aliyemsumbua..

Kina kisheti bado wanambaamba tuu..!

Wanapata wanapigwa chini !

Piga kazi mkuu..!
 
Back
Top Bottom