Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Asante hubby ake!!Lunch tiiiiiime
Karibu baby ake!
Leo Itabidi ushibe badala yangu, niko busy mnoo mume wangu
Asante hubby ake!!Lunch tiiiiiime
Karibu baby ake!
Same to you my Prince T, love only youMchana mwema makapuku!
hahahhh jamaan baby wangu kawa jux wivuTuko pamoja jux wivu.
Mm nishapata wangu sijui wengine.
Baba mchungaji hajajulikana.
Tunaanzisha mgomo wa kutochat humu mpaka atajwe...ila pimbi hali yake sio nzuri kivile
by the way hongera sana mondray kwa kutoka kwenye chama la geisha huko naona umewachia wakina nyagei na wenzake
hahahhh mlinzi ww nakuaminiaTunakumiss mnoo shemela, mie nalinda tu kimya kimya ondoa shaka
love u too twinStill love you pacha
awww miss u badly hunnieWakuu hope nyote mnaendelea vizuri ,nimewamisi kiukweli ila soon tutakuwa wote nimebahatisha mtandao kidogo hapa ikakubali kuwasha E
My baby Shunie najua u always on my back but nakumis kiukweli ule ukorofi wako na 'kupanic'![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ila nina mashaka na kamati yangu kama wanafanya kazi![]()
![]()
![]()
Niulizee jamani Baba mchungaji ashajulikana officially make post zote nimeskip japo inanipa wasiwas kwa wabaya wangu kwa shunie
Mr T and sakayo nawamis
Kisheti ,pimbi,mwekagazina na mzee mkavu souudy vip mshapata wenzenu au mnasumbua wake za watu
![]()
![]()
![]()
![]()
nina dk 15
hahahh najua tu lazima umiss ukorofi wangu nakuombea baby urudi tena kama kawaida
usije ukaniulia mume huko alipoKisheti jana kazingua kapata kampani yeye akawa anaona aibu kutoa ushirikiano
Mambo mengine yanaenda poa ila kuna jamaa kapanga kufanya mapinduzi makubwa baada ya kwaresma
Ni hayo tu
Nimekufungia cc TV camera, we Fanya ujinga uonehahahhh mlinzi ww nakuaminia
hahahhhhAcha uongo wewe mm sio kama wew
Utabaki na hamu zako daima.
.........
Unaendeleaje kwanza
Mungu mkubwaNaendelea vyema naweza kuanza mazoezi sasa
Sio uongo nilikuwa shahidi wakati upo dimbani unafanya yako ili uweze kushinda
I'm humbledlove u too twin
Ukhuty ndio bae wako hahahh kama nawaona wakina nyageiNimekumiss pia
Sweetie wangu
Yule kocha chizi mpk mourinho anajiuliza kwa nn aliuzwaMzee wa kuvizia
Namkubali sana sijui kwanini LVG alimuuza
.....
Ushapata lunch honey

hongera mmy kwa kumtoa shemeji yetu kwenye upweke
hahahhh wanapata wanapigwa chiniTunakumiss pia mkuu..
Princess S anakusalimu..
Shunie yupo pouwa wala hakuna aliyemsumbua..
Kina kisheti bado wanambaamba tuu..!
Wanapata wanapigwa chini !
Piga kazi mkuu..!
hahahhh we hushindwi ujueNimekufungia cc TV camera, we Fanya ujinga uone
Njema namshukuru Mungu vipi nawe upo?Amen Mama Mchungaji.....u hali gani weye?
Nawe pia mkuuMchana mwema makapuku!
Asante mpenzhongera mmy kwa kumtoa shemeji yetu kwenye upweke
Tunakumis sanaNimewamis mnoo![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()