Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Mimi refaTuliza ball pimbi
Mimi refaTuliza ball pimbi
Nitashukuru sana bibie maana nipo single pekee yangu kapuku nzimaNgoja nikupe kampan bas
Usijali kampan umepataNitashukuru sana bibie maana nipo single pekee yangu kapuku nzima
Usiku huu bila lager huwezi keshaChochote ila sio kilevi
Chochote ila sio kilevi
Nakesha kabisa bila kileviUsiku huu bila lager huwezi kesha
Sawa mkuu...Strong Agree boss.
Kuna vitu 3 ulivisema ni vyaukweli kabisa
Loooh sijui km atakubal lknsiwapendi wakwepa kodi, inakuwaje asitumie kilevi? kampani ya ukweli tutapeana vipi sasa kama kila mtu atakuwa na kili ya kujichunga?
Mlete tushawishiane
Mimi refa
Loooh sijui km atakubal lkn
Bingoo.....!!!Usijali kampan umepata
Bor ulivyoghair maan ungenipa mada kesUsimseee, mshawishi
Tukumbuke pia maneno ya mama mchungaji alivyosema jana mchana kwamba vidume tupate muda tupumzike ili tuwe na strong health
Usijl vichek vyao kwish wakukup kampan nipo hapBingoo.....!!!
Nashukutu sana maana Lee na Trans walikua wananicheka.
Sawa ila mm sina usingizi namalizia kasizoni kangu hapaTukumbuke pia maneno ya mama mchungaji alivyosema jana mchana kwamba vidume tupate muda tupumzike ili tuwe na strong health
Labda uwe mfanyakazi emergency roomNakesha kabisa bila kilevi
Nimeipenda hiyoooHa hahahhaha, kama hajatuonyesha baba mchungaji hana haki ya kuyanena haya.
Atatuombea tuwe strong
Hahaha hap nipo lindoni na rungu langu ujueLabda uwe mfanyakazi emergency room