Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Hahahaaaa!Sawa ma wife
Ulale salama kipenzi.
Nakupenda sana hadi T anaona wivu.
Always love you ma toto
Ukaona upokee salama isiyo yako


Hahahaaaa!Sawa ma wife
Ulale salama kipenzi.
Nakupenda sana hadi T anaona wivu.
Always love you ma toto


Ray van kafanye kwanimm najua kama mondray anapenda utani ila yule ray van wako hapana aisee
Tunawapenda lee na shunie piausiku uwe salama na kwako pia tunawapenda sana
usiku uwe salama na kwako pia tunawapenda sana
Hahahaaaa!
Ukaona upokee salama isiyo yako![]()
Kaniaga mm wewe huna chako tenaHahahaaaa!
Ukaona upokee salama isiyo yako![]()
Wakati mwingine unaweza ukapendwa na mwanamke hadi ukajihisi humpendi..
Napata shiida sana kumuonesha huyu mwanamke namjali kutokana na anvyonijali..
Ukipendwa penda mara 10 yake..
Nakupenda saana utamu wangu! Nakupenda mke wa ndoto zangu..!
Nakupenda mama wa watoto wangu..
Ulale salama princess wangu S
Natoka jf kwa siku 7..Kaniaga mm wewe huna chako tena
Hataree mkuuDuh, kupenda huku kumeizidi hata maagizo ya kwenye baibo, maana huko wanasisitizo mwisho 7 tu, kupenda mara 10 ni kupenda kama njiwa
Daah safari njema jooh.Natoka jf kwa siku 7..
Ukimchukua sakayo..
Naweka picha zangu hapa! The real transcend.
Labda wabatizaji ndio wanaelewa zaidiPimbi najua sababu hafanikiwi kwenye mitongozomuweka hazina sio kwamba anatunza pesa
Ulale unono shemusiku uwe salama na kwako pia tunawapenda sana
Tuko poa bibieMko poa humu
Naww ulaleUlale unono shem
VyemaTuko poa bibie
Sipendi betting za hiviNatoka jf kwa siku 7..
Ukimchukua sakayo..
Naweka picha zangu hapa! The real transcend.