Makapuku Forum

Makapuku Forum

50cdffac1a9f4ee16313a334e8b48bfe.jpg
279cf9c215f6539115ff8458994f8a76.jpg
2f9e383f050c9f83704bf4bf5bc483c5.jpg
We Bitoz acha uhuni!!!
 
Mkuu mbona umetoa mfano kwa kutumia moyo wa binadamu wakati kikawaida moyo wa reptilia na amphibia huwa na chemba moja yaani one ventricle and one auricle
Point of correction mkuu

Kwa kutumia reference yako amphibian na reptiles wana chemba tatu za moyo means 2 atria na 1 ventricle na sio moja moja kama ulivosema ,tunakumbushana mkuu

Nikitumia reference yako tena fish especially lung fish ndo tunasema wana single circulation manake damu inapita tu that's y wana chemba moja moja ila narudia ni simple fish tukizama kwenye evolutionary

Na kuongezea baadhi ya reptile wana chemba zaidi ya 3 manake 4 kama binadamu hasa wale walioadvance kwenda mammals

Hummingbird ni aves kama birds wengine ,na birds kikawaida kama mamals wana chemba 4 za moyo ikimaanisha atria 2 na ventricles 2 mkuu nahis apo umekumbuka

Ventricle ya kulia inasukuma damu kwenye mapafu ya kushoto kwenda sehemu nyingine za mwili
26cffb8a1cf542b3a41dbe2ee51d02b0.jpg




Karibu kapuku darasa huru
 
Bitoz lee empire kuna post nilizo post juzi za je wajua hazina picha kama hizo anazo Quote shedede.. naomba mziwekee picha kama itawezekana
Mimi ni mpigapicha wa Dikteta Mussolin05 kwenye leo ktk historia tu ndo kazi yangu na huwa naifanya kwa moyo mmoja....
nafikiri ww na Lee mna makubaliano yenu pia hivyo sihusiki nilichofanya ni kuokoa jahazi tu sababu niliona km vile anazuga eti picha zimegoma
Nafikiri umenielewa
. ........
 
Mimi ni mpigapicha wa Mussolin05 kwenye leo ktk historia tu ndo kazi yangu na huwa naifanya kwa moyo mmoja....nafikiri ww na Lee mna makubaliano yenu pia hivyo sihusiki nilichofanya ni kuokoa jahazi tu sababu niliona km vile anazuga eti picha zimegoma
Nafikiri umenielewa
. ........
Hahaaaaa
Basi nakuomba utupie na zile tu maana hazina picha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom