BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
God is good all the time I thank him,I am fine.I am fine ma'am, how about you??
God is good all the time I thank him,I am fine.I am fine ma'am, how about you??
JE WAJUA,
Kila baada ya Sekunde 90 mwanamke anafariki ajili ya mimba au kujifungua
Ahaaaaa Leo hatari asubh bibie kagonga 146 jionii nimemaliza147Hongera kwa 147
Mmmh! Mawingu tena!?JE WAJUA??
VIETNAM ina pango kubwa zaidi duniani ambapo ndani ya hilo pango kuna miti, mawingu na mto.
Inaumiza sana na mara zote ni kwa ajili ya huduma mbaya zisizo rafiki,vituo vya kujifungulia kuwa mbali,uhaba wa wahudumu na mengine mengi....WAPUMZIKE KWA AMANI WA MAMA WOTE WALIOPOTEZA MAISHA KWA AJILI YA UZAZI..MUNGU AWAREHEMU.
Picha imegomaaJE WAJUA?
Mbuni wanaofugwa mara nyingi wamejaribu kufanya mapenzi na wameliki wao
Karibu mkuu Shululu siku nyingi sijakuonaHongera kwa 147
Thanks Mama Mchungaji, I missed you tooKaribu Werrason we missed you
Powa, adje adje?Za jioni makapuku
Tupo hapa tunapata je wajuaThanks Mama Mchungaji, I missed you too
Staki!!!Skip page bhanaaaaah
![]()
![]()
![]()
![]()

Salama karibuuuuNiajeeee makapukuuuuu
Hamna noma joohPicha imegomaa
Poaaa sanaa mkuuu. ...nipe habaariiSalama karibuuuu
Aah Where!!!JE WAJUA?
Kipepeo ana macho 12,000

Whaaat!!!JE WAJUA??
VIETNAM ina pango kubwa zaidi duniani ambapo ndani ya hilo pango kuna miti, mawingu na mto.
