BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Hili sikujua kabisa,Mungu anatisha ameumba miujiza mingi tunapaswa kumheshimu sana.
Hili sikujua kabisa,Mungu anatisha ameumba miujiza mingi tunapaswa kumheshimu sana.
Wamiliki inamaana binadamu?how?JE WAJUA?
Mbuni wanaofugwa mara nyingi wamejaribu kufanya mapenzi na wameliki wao
NawaonaTupo hapa tunapata je wajua

Mh!!!JE WAJUA?
Mshindo wa Nguruwe anapofanya mapenzi (Orgasm) unadumu kwa muda wa Dakika 30

Kitakua kivutio kwa utalii hakikaJE WAJUA??
VIETNAM ina pango kubwa zaidi duniani ambapo ndani ya hilo pango kuna miti, mawingu na mto.
Acha uvivuPicha imegomaa
Mh!!! Leo maajabu tu!!!JE WAJUA??
Mbuni anakimbia haraka zaidi ya farasai, huunguruma kama Simba
Nimeipenda hiyoAcha uvivu
......
I seee!Leo je wajua inatishaJE WAJUA?
Mshindo wa Nguruwe anapofanya mapenzi (Orgasm) unadumu kwa muda wa Dakika 30
KaribuuuNawaona![]()
lee empire weka pichaJE WAJUA??
VIETNAM ina pango kubwa zaidi duniani ambapo ndani ya hilo pango kuna miti, mawingu na mto.

Hahaha mkuu naona facts zako karibu sana
Kwema mkuuuNiajeeee makapukuuuuu
Nionyeshe pa kukaa na sodangu ii wapi?Karibuuu
Mkuu tusaidie nilipo tunashare Wi-Fi na people zote zishatimbaAcha uvivu
......