Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
hahahah huyo ana tiba yakeJisogeze hapo hapo mkuu maana kwa usawa huu utakufa upo singo
hahahah huyo ana tiba yakeJisogeze hapo hapo mkuu maana kwa usawa huu utakufa upo singo
ShiiiiiMsaidieni nayy apate jamani si unaona anavamia mali za watu
halaf lee wangu atakua anatumia weedWeed

Tiba ipi hiyohahahah huyo ana tiba yake
mwambie akwambieTiba ipi hiyo
Itabidi nifanye udukuziRay j pekee ndio anapata
Nyangei kanifunzaNa wewe tena nani kakufundisha?
Sijadondokea kuleSi unaona anaenda kuangukia kwa wake wa watu humu ngoja baily5 aje
DuhJE WAJUA??
Kila mwaka paka Milioni 4 wanaliwa nchini china
Niambie mwenyewe shem banaamwambie akwambie
hahhahahhhaa huyo bwana mambo yake makubwa hataki wanawake nimemkuta mmu huko anataka kuelekezwa njia nzr ambayo haina madhara
Mbuzi nao wanapokea salaryJE WAJUA??
Google huajiri mbuzi 200 kila mara ili zile majani yaliyo kwenye mbuga za kiwanja ili kutoa nyasi
Wewe ni kinyonga sanaBora sisi tupo singo hatuna shida na mtu
Yeah lakini mm hata kazi ya kuchimba mtaro sina.Mbuzi nao wanapokea salary
TupooooMakapukuz mpoo
Tupo karibuMakapukuz mpoo
Kwanini kamanda wanguWewe ni kinyonga sana