Makapuku Forum

Makapuku Forum

1964 - Mahakama mjini Dallas inamtia hatiani mmiliki wa pub Jack Ruby kwa kuhusika na mauaji ya Lee Harvey Oswald ambaye inasemekana ndiye aliyempiga risasi na kumuua Rais John F. Kennedy.
d798d5cc5d44a11539970b2824e98ea3.jpg
Jack
9833cb27d51e319323adc1e813f8c4a0.jpg
Lee
a0267193d1f33760e2ba00a07b472029.jpg
e0e1a1c37ac99540630ff469b8f2f192.jpg
muosha huoshwa
.....
 
1879 - Albert Einstein anazaliwa.

Ni Mjerumani na Mmarekani, mtaalam wa Fizikia, Uhandisi na mwanazuoni mahiri kabisa.

Ni mshindi wa Nishani / tuzo ya Nobeli.
Daah! Hiki kichwa na ile formula yake ya energy....

Bomu la Hiroshima Nagasaki ni matokeo ya hiyo formula...!

Naweka nukuu ya msemo wake mmoja kuhusu speed

If you run naked around a tree at a speed of 185,999 miles per second, there is a distinct possibility of fucking yourself

 
Dereva akiwa ndani ya gari alimwona mwanamke anauza matunda pembezoni mwa barabara. Baada ya kukubaliana bei ya kikapu kizima cha matunda akamwambia yule mwanamke akaweke matunda ndani ya buti ndipo apewe pesa yake.

Mwanamke akaenda kwenye buti akafungua badae akafunga bila kuweka matunda. Dereva baada ya kusikia buti ikifungwa akaondoa gari kwa kasi. SWALI JE HAPA NANI MWIZI. Dereva au Mwanamke?
Hahahaaaa I seee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom