Makapuku Forum

Makapuku Forum

fdbd4b31d7906c5a07b3ba110c747d78.jpg

Habar makapuku wenzangu
Leo ninawatambulisha shemeji yenu huyu. Ananipenda ninampenda na ndio ananifanya niringe kitaaa. Nipeni asilimia kama yuko poa

NB. BILGATE DAUGHTER
 
1979 - Nicolas Anelka anazaliwa.

Straika wa zamani wa Arsenal, Real Madrid, Bolton, Man City, Chelsea, Juventus na timu ya Taifa ya Ufaransa.

Alikosa penati katika fainali ya ligi ya mabingwa ulaya mwaka 2008 hivyo kuipa Man Utd ubingwa.

Amezurura timu nyingi sana barani ulaya hana tofauti na Zlatan Ibrahimovic.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom