Te Lavista
JF-Expert Member
- Mar 12, 2017
- 1,626
- 2,847
Morningz ma friends
Morning kijasusoMorningz ma friends
Salama wakuuSalama wakuu!?
Morning sana Queen DarlinMorning kijasuso
Ile kadi ndio iliwaokoa Chelsea."Imagine Chelsea without ng'olo or Kante".... Wale waliobuni lile tangazo la super sport sijui waliwaza nini nimewaza hapa kutokana na kazi wanayotoa wale super sport na Yule ng'olo kante wao.....
![]()
Chelsea anatembelea kichwa, miguu, akili, moyo, mapafu na macho ya Claudio Kantelele........ Kuna wakati unahisi wapo kante watatu uwanjani.... Mmoja ana analinda, wa pili anachezesha timu na mwingine anashambulia...... Mungu kamuumba kante mfupi, mweusi lakini anawazwa sana kuliko watu mweupe na warefu....
.![]()
Marcos Rojo kwanza ndio afuate Dave save(de Gea).... Mabeki Wengi Wakizungu wanakosa roho mbaya miguuni na umafia.... Wao wamejaaliwa umafia pekee Bila roho mbaya miguuni. Washambuliaji wa kaliba ya Diego Costa wanahitaji kukabwa na mabeki kaliba ya Marcos Rojo...... Beki bora kabisa wa kati katika mchezo huu maana kumficha Diego costa huyu sio kazi rahisi.
![]()
Mzee wangu jose umezoea kumuonea wenger ila nahsi umeonja wenge za muitaliano make kidogo yatokee tale ila kiukweli bado rafiki yangu Conte unahitaji ku install mbinu za ku unlock padlock kama zile zilizowekwa na Manchester united, make walijitahid kwendana na wendawazimu wako dimbani
![]()
Umakini wa hazard changanya na umakini wa Ander H ndo umesababisha tuone kilichotokea wengine wanasema danganya Toto ila kumlaumu refa ni kujitafutia sababu make aliona kutokea nyuma ..... Waswahili wanasema kila shetani na Mbuyu wake na Oliver ni mbuyu wa shetani mwekundu tu......
![]()
![]()
Hakukua na jinsi ilikuwa ni lazima mmoja w afungwe na atoke...... FA cup robo fainali kushney..... Tukutane nusu fainal.
Mwenye bei halisi ya Kante jamani kabla ya dirisha la usajili kufika ?
Chelsea 1-0 Manchester united.
Shunie na shemeji zako polee sana make kwa vyovyote vile ilitakiwa mmoja atoke na mnaujua fika mzuka wa muitalianoo....
Sio kweli mkuu man u walishazidiwa toka mwanzoni kilichowacost waliingia wamekamia mchezoIle kadi ndio iliwaokoa Chelsea.

Ndio umekoti mada yoteIle kadi ndio iliwaokoa Chelsea.
Wewe wasemaSio kweli mkuu man u walishazidiwa toka mwanzoni kilichowacost waliingia wamekamia mchezo
Mbona simba huwa anapata kadi red na anashinda![]()
![]()
![]()
![]()
Kitu kidogo hicho mkuu![]()
![]()
![]()
![]()
Msamehe
Pamoja sana mkuu bashiteKitu kidogo hicho mkuu
Sawa lee deliciousPamoja sana mkuu bashite
Morning sana Queen Darlin
Toka mwanzo nilisema wafunge viroba. Ila wakiacha petrol na ugoro lazima niendelee kumuvika onlineViroba vimeshapigwa marufuku,vyako sijui umevipatia wap
Hahahah sio kwa mbio hizo
Tulikuwa tunatoa maji ndani kuyapeleka nje..Lee makapuku huku simu zmeenda na maji![]()
Kwema mkuuuHabarini za asubuhi Makapuku!?