Makapuku Forum

Makapuku Forum

Safi kabisa,na mie kapuku
Maana ya kapuku..;

Hili neno linamaanisha member wa jf ambao sio maarufu au ni underground au watu ambao sio wakongwe wa jf.. ukirudi nyuma hadi post # 5 utakuta link yenye maelezo mengi zaidi..

Hii ilianzishwa baada y baadhi ya members kudharauliwa, kufanyiwa kejeli na wakongwe wa jf. Wakati mwingine unasutwa tuu kisa huna umaarufu..

Hapo ndo ikawapo thread ya makapuku ambayo itamshimu kila mtu ambaye sio maarufu! Huku unatoa mchango na unaheshimiwa kama member mwingine..


Mkuu Bitoz unaweza ukaongeza nyama kidogo..

Cc:
Bitoz
Baily 5
Na makapuku wote..
 
JE WAJUA?
Msuli mrefu kuliko yote kwenye mwili wa binadamu unaunganisha kope za macho na sehemu ya kutolea haja kubwa (anus) ndo mana kila ukijaribu kubana jicho moja sehemu ya haja kubwa hufunguka bila kutarajia?

nawaona cheki mnavojaribu...mtakuja kunya buree jaman....
 
Kibanda umiza
2ce5b17ed57a5b0b9421997b47cae275.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom