Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,117
- 1,249,278
Mie pia man u
Leo mimi man u wewe je?
Leo mimi man u wewe je?
Unamaanisha nini
Hahaha, we piga kimya, akija utamuonaUna uhakika mkuu au 7bu leo umetoka mapema lindo
MshangiliajiLeo mimi man u wewe je?
Hakuna aliyeiba hapo🙁🙁🙂Dereva akiwa ndani ya gari alimwona mwanamke anauza matunda pembezoni mwa barabara. Baada ya kukubaliana bei ya kikapu kizima cha matunda akamwambia yule mwanamke akaweke matunda ndani ya buti ndipo apewe pesa yake.
Mwanamke akaenda kwenye buti akafungua badae akafunga bila kuweka matunda. Dereva baada ya kusikia buti ikifungwa akaondoa gari kwa kasi. SWALI JE HAPA NANI MWIZI. Dereva au Mwanamke?
Hakuna aliyeiba hapo🙁🙁🙂
Hahahaha, wote,Je nani boya hapo?
Kukonyeza hukoJE WAJUA?
Msuli mrefu kuliko yote kwenye mwili wa binadamu unaunganisha kope za macho na sehemu ya kutolea haja kubwa (anus) ndo mana kila ukijaribu kubana jicho moja sehemu ya haja kubwa hufunguka bila kutarajia?
nawaona cheki mnavojaribu...mtakuja kunya buree jaman....
![]()
Ni uswazi pekee ndio burudani hizi zipoKibanda umiza
View attachment 480623
Dah wamekutanaDereva akiwa ndani ya gari alimwona mwanamke anauza matunda pembezoni mwa barabara. Baada ya kukubaliana bei ya kikapu kizima cha matunda akamwambia yule mwanamke akaweke matunda ndani ya buti ndipo apewe pesa yake.
Mwanamke akaenda kwenye buti akafungua badae akafunga bila kuweka matunda. Dereva baada ya kusikia buti ikifungwa akaondoa gari kwa kasi. SWALI JE HAPA NANI MWIZI. Dereva au Mwanamke?
