Makapuku Forum

Makapuku Forum

"Imagine Chelsea without ng'olo or Kante".... Wale waliobuni lile tangazo la super sport sijui waliwaza nini nimewaza hapa kutokana na kazi wanayotoa wale super sport na Yule ng'olo kante wao.....
77979a5a8664269d074917b712e6c85f.jpg



Chelsea anatembelea kichwa, miguu, akili, moyo, mapafu na macho ya Claudio Kantelele........ Kuna wakati unahisi wapo kante watatu uwanjani.... Mmoja ana analinda, wa pili anachezesha timu na mwingine anashambulia...... Mungu kamuumba kante mfupi, mweusi lakini anawazwa sana kuliko watu mweupe na warefu....

5361a3348caaaf532d4c44274e77ede0.jpg
.

Marcos Rojo kwanza ndio afuate Dave save(de Gea).... Mabeki Wengi Wakizungu wanakosa roho mbaya miguuni na umafia.... Wao wamejaaliwa umafia pekee Bila roho mbaya miguuni. Washambuliaji wa kaliba ya Diego Costa wanahitaji kukabwa na mabeki kaliba ya Marcos Rojo...... Beki bora kabisa wa kati katika mchezo huu maana kumficha Diego costa huyu sio kazi rahisi.
ef917e703edfc771ed44de8f52602fd4.jpg



Mzee wangu jose umezoea kumuonea wenger ila nahsi umeonja wenge za muitaliano make kidogo yatokee tale ila kiukweli bado rafiki yangu Conte unahitaji ku install mbinu za ku unlock padlock kama zile zilizowekwa na Manchester united, make walijitahid kwendana na wendawazimu wako dimbani
c22628ffd9f74d4d02b13ad89ce58eaa.jpg


Umakini wa hazard changanya na umakini wa Ander H ndo umesababisha tuone kilichotokea wengine wanasema danganya Toto ila kumlaumu refa ni kujitafutia sababu make aliona kutokea nyuma ..... Waswahili wanasema kila shetani na Mbuyu wake na Oliver ni mbuyu wa shetani mwekundu tu......
89a87b33fccb13c5a6fa7ebe66839a4c.jpg


c32abf5b1c2bac287d58d7a4816bd06a.jpg

Hakukua na jinsi ilikuwa ni lazima mmoja w afungwe na atoke...... FA cup robo fainali kushney..... Tukutane nusu fainal.

Mwenye bei halisi ya Kante jamani kabla ya dirisha la usajili kufika ?

Chelsea 1-0 Manchester united.

Shunie na shemeji zako polee sana make kwa vyovyote vile ilitakiwa mmoja atoke na mnaujua fika mzuka wa muitalianoo....
Ahsante Dauda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom