Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Kwema kabisa, hongera kwa ushindi wa janaKwema mkuuu
Kwema kabisa, hongera kwa ushindi wa janaKwema mkuuu
Kushinda nimeshinda ila najuta make ata chai sijaandaliwa ...Kwema kabisa, hongera kwa ushindi wa jana
Tulia tu leo umeshiba ushindi hata hamu ya kula mpaka ijisikie kuja piga tu mzigo jioni madiko diko kama kawaidaKushinda nimeshinda ila najuta make ata chai sijaandaliwa ...
Tuunge mkono wazo is la transcend
Mmmmmmh kanunaaTulia tu leo umeshiba ushindi hata hamu ya kula mpaka ijisikie kuja piga tu mzigo jioni madiko diko kama kawaida
Jioni ni kicheko shemela atakuwa amekumiss kwani hukulala kwa ObeMmmmmmh kanunaa
Teh teh wewe umejipiga selfie ajili yangu.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Wewe usiku umeniotaaa
Sikulalaa si alinihaid kunipa akanichenjiaa ...ila Leo bhinamu obe ntamsindikiza nje ya mjiJioni ni kicheko shemela atakuwa amekumiss kwani hukulala kwa Obe
Transcend hakukoseaa kumbeTeh teh wewe umejipiga selfie ajili yangu.
KufanyajeTranscend hakukoseaa kumbe
Kutongoza wanaume wewe hushindwiiKufanyaje
Hahaaaaaa utani bwana sipo hivyo kabisa kwenye maishaKutongoza wanaume wewe hushindwii
UsiofuuuLee nadhani leo upo vzr.
Jiandae aisee maaana nondo zipo nyingi sana ujitahid leo tuzitupie
Sema ukweli ,,ushawahi kutongoza ke wangapi jf ??Hahaaaaaa utani bwana sipo hivyo kabisa kwenye maisha
Kutongoza nikiwa nimedhamiria au kiutani tuSema ukweli ,,ushawahi kutongoza ke wangapi jf ??
Kuwa mkweli
Nenda tu huko ili uondoe mawazo ya chakula cha usikuSikulalaa si alinihaid kunipa akanichenjiaa ...ila Leo bhinamu obe ntamsindikiza nje ya mji
VyoteKutongoza nikiwa nimedhamiria au kiutani tu
Mhuuu swali gumu hiliVyote
Halina ugumu jombaaMhuuu swali gumu hili