Ombea mfungwe upewe ya kufarijiwa!!!Ila kuwa na wanawake wanaopenda mpira saa zingine ni tabu kweli...
Yaani huku Clkey anaomba tufungwe ili anipe! Tukishinda sipewi
Mtu mwenyewe game ya leo haimuhusu kihivyo.
Umetutenga kinomaaaPamoja sana. Usijali ndugu
Ni kweli aisee. Vipi lakini kwema?Umetutenga kinomaaa
Khaaaaaaa hata mm mgeni hunitak utakua unanionea sana naomba unufungulie tafadhari
Kwema mkuu tupo tunalisongeshaaNi kweli aisee. Vipi lakini kwema?
Ngoja nikumbuke id yako ileKwema mkuu tupo tunalisongeshaa
VINASABAni neno la kiswahili likiwa na maana jina la kibaolojia la DNA yaani Deoxyribonucleic acidNijuze kuhusu vinasaba
Utaikumbukaa kweli??Ngoja nikumbuke id yako ile
Inaanzia na livi kitu kama hichoUtaikumbukaa kweli??
Mkuu biochemistry haukupata karai...VINASABAni neno la kiswahili likiwa na maana jina la kibaolojia la DNA yaani Deoxyribonucleic acid
Vinasaba(DNA) ndio utambulisho mkubwa kwa viumbe hai.
Vinasaba vina umbo la heli mbili yaani double helix structure...kama inayoonekana hapo chini.
Hizo heli mbili zinaitwa polynucleotides na zinajengwa kwa monomers dogo dogo zinazoitwa nucleotides
Kila nucleotides zina nucleobases 4 ambazo ni cytosine -C, guanine -G , Adenine-A or Thymine-T
Hizo base huwa zinapair kwenye zile coil ulizoona hapo juu... A zinapair na T wakati G inapair na C . Lakini vile vile hizo DNA ina atoms za sukari(sugar) na atoms za phosphate..
Vinasaba ndio utambuzi mkubwa wa viumbe hai...
Kwa leo tuishie hapo! Ukiweza kukumbuka na Biology form 4 itakuwa murua...
Je wajua ingine hiyo hapo chini..
Ahsante.....tuunganishe na Zanzibar1988 - The Seikan Tunnel yafunguliwa huko Japan.
Ni njia ndefu zaidi Duniani ya chini ya Bahari yenye urefu wa Km 23 ambayo inaunganisha visiwa vya Aomori na Hakodate kwa reli.
Ahsante kwa historia mujarabu kabisa le dictatorLEO KATIKA HISTORIA:
Sina la ziada, niwatakie wiki njema.
Usiwe unajificha sana huku sio Tehran kakaPamoja sana. Usijali ndugu
Sawa nyangemaHadi ifike 150k zen itafuata 200k
Ndo kinachosubiriwa
......
Cheza na vyote ila sio shunie