- Leo ni Siku ya kitaifa ya Mnyama Tembo nchini Thailand.
Hata Wachina wamesambaza machotara hadi kijijini kwetu wapo machotara waoNawakumbuka kwa kutuachia watoto wengi kule Dodoma
Pamoja mkuuLEO KATIKA HISTORIA:
Sina la ziada, niwatakie wiki njema.
Hahaa! Sawa mkuuhahahhah huyo dogo pole yake
Aisee! Kazi kweli kweli..Paprika alimpaa ban
Huku kwetu ni Faru![]()
![]()
![]()
![]()
Buku kwetu hawathaminiki
...
Shukrani mkuuJe wajua?
Kitu cha televisheni cha MTV (music Television) kilianza rasmi kazi siku ya 1/8/1981
Kwa kurusha video ya kwanza kabisa ya video killed the radio star wimbo wa The Buggles.
Tukutane panapo majaliwa...!
Hahaaa! Umejileta mwenyewe!Aiseee Transcend kaniwahi nilitaka namm nianzishe hiyo makala...
Pamoja mkuuShukrani mkuu
Aiseee Transcend kaniwahi nilitaka namm nianzishe hiyo makala...
mm huyo nimemjuaHahaaa! Umejileta mwenyewe!
Uanzishe ama uendeleze? Mondray bhana!
Cc;
Mussolin5
Shunie
Bitoz
Lee empire
Werrason
Paprika
Ray van boy
Blessedhope
Nyagei
Quigley
Shululu
Na makapuku wengine wote
Nawewe anzisha mada ya Ufuajiz wa shuksa jestiz![]()
Anzsha mada ya malpislhi itabalmba
......
GroupNimevutiwa na hili grupu naomba adimin aniruhusu Nianze kurusha videoz za vichekesho.
Pia nianzishe makala yangu pendwa ya
JE WAJUA??
nazifanya sana wasapu.nimempenda huyu binti SHUNIE

Ikawaje sasa apige hodi au alisahau mlango ulipo?
DuhKwa NIABA ya mondray..
Leo katika Je wajua?
Brazil inapakana na kila nchi katika bara la amerika ya kusini isipokuwa Chile na Ecuador tuu..
Hii sijaelewa kabisaJe wajua
Kama vina saba vyako (DNA) vikinyooshwa vitakuwa na urefu wa kufika mwezini mara 6000