Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Pamoja mkuu

Pamoja mkuu

Walikuwa wavivu kutamka haoJe wajua?
Jina la Brazil limetokana na jina la mti.
Brazil linatokana na neno brasilium au brisilium
Jina brazil lilifupishwa kutoka kwenye maneno ya Terra do brazil likiwa na maana ya Land of brazilhood.
Hata Wachina wamesambaza machotara hadi kijijini kwetu wapo machotara wao
.....
Waje wajapan tu ili watuachie vinasaba vya uhandisi ili tusiwategemee sana waoJe wajua?
Kitu cha televisheni cha MTV (music Television) kilianza rasmi kazi siku ya 1/8/1981
Kwa kurusha video ya kwanza kabisa ya video killed the radio star wimbo wa The Buggles.
Tukutane panapo majaliwa...!

Hivi Baily 5 yuko wapiHahaaa! Umejileta mwenyewe!
Uanzishe ama uendeleze? Mondray bhana!
Cc;
Mussolin5
Shunie
Bitoz
Lee empire
Werrason
Paprika
Ray van boy
Blessedhope
Nyagei
Quigley
Shululu
Na makapuku wengine wote
Nimevutiwa na hili grupu naomba adimin aniruhusu Nianze kurusha videoz za vichekesho.
Pia nianzishe makala yangu pendwa ya
JE WAJUA??
nazifanya sana wasapu.nimempenda huyu binti SHUNIE
Longtime huku hapiti...nenda thread ya man untd utamkuta na kina BaravariaHivi Baily 5 yuko wapi
Sawa kaka sasa nimeshamtambuaMbwembwe tu ili tufahamu uwepo wake
Unapokopi edit kabla hujapost old mondrayNimevutiwa na hili grupu naomba adimin aniruhusu Nianze kurusha videoz za vichekesho.
Pia nianzishe makala yangu pendwa ya
JE WAJUA??
nazifanya sana wasapu.nimempenda huyu binti SHUNIE
Sasa alikuwa na maana gani kuanzisha kisha kukimbiaLongtime huku hapiti...nenda thread ya man untd utamkuta na kina Baravaria
Sawa kaka sasa nimeshamtambua
hahahhhhAah bana nani kaka hapa
Unaitwa huku kundini mkuu!Karibu sana Mkuu kwa chama kubwa la MAKAPUKU.
Upite na huku mkuu!Nasubiri memba wengine wake humu
Pamoja sana! Longtime hupiti huku Pogba...Acheni ubaguzi jamani wote humu ni wamoja.


Sizzya007 atakuwa na id ingine huyu..! Last seen mwaka jana..Kumradhi RRONDO😳
Ahsante lee.....ahsante na magazeti PapaaTuwe na mwanzo mzuri wa wiki wapendwa