Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,971
hapana aisee siwezi kuwa shabiki wa team mbovu ningekua arsenal ningeshahamia chelsea mda sanaArsenal hawa !![]()
hapana aisee siwezi kuwa shabiki wa team mbovu ningekua arsenal ningeshahamia chelsea mda sanaArsenal hawa !![]()
Apumzike kwa amani na waluomuua Mungu atawalipa sawa na matendo yao
Kumbe ww demu au nimekoseaAsante mkuu Bitoz kwa kutukumbuka ubarikiwe .
Hii michezo ya wazungu natamani kuijua!!!Leo Katika Historia:
1817 - Soko la Hisa la New York ( New York Stock Exchange ) laanzishwa.
nipo shemela ur missedShemela shunie upo
ahhahahahKumbe ww demu au nimekosea
Siku zote najua dume
![]()
![]()
![]()
....
Inaumiza sana2014 - Ndege ya Shirika la ndege la Malaysia iliyokuwa imebeba abiria 239 ikitokea Kuala Lumpur kwenda Beijing yapotea na kutoonekana katika vyombo vya usalama.
asantee mushengaTUJIULIZE KWA NINI KINAMAMA WANALIA?
Mtoto alimuuliza mamake kwa nini unalia?
Akajibu kwa sababu mimi ni mwanamke..
Akasema mtoto
mimi sijafahamu.
Mama akamkumbatia mtt wake na kumwambia:
si rahisi kunielewa.
kisha mtoto akamfuata babake na kumuuliza:
kwa nini mama analia bila sababu?
Baba akajibu:
Wanawake wengi wapenda kulia bila sababu...
Akakua mtoto ila bado hajajua sababu hasa ya mwanamke kulia.
Mwisho akamuuliza Kiongozi wa dini mwenye hekima:
Kwa nini wanawake wapenda kulia bila sababu?
Akajibu:
Mwenyezi Mungu alipomuumba mwanamke alimpa mabega yenye nguvu sana kwa ajili ya kubeba mazito ya walimwengu.
Na akamjaalia mikono miwili milaini na iliojaa upendo kwa ajili ya kuwapa watu raha. .
Na akampa nguvu ndani ya mwili wake ili
kuweza kubeba mimba hadi kuzaa.
Na vile vile kuvumilia pindi wanapokua na kumkataa.
Na vile vile kapewa hekima ya kubeba aibu za nyumba yake na familia yake na kuwalinda pamoja na kua na msimamo ktk kila jambo zito bila kutetereka.
Na akampa mapenzi juu ya watoto wake yasoisha na wala kubadilika,
hata wakimrudia na kumtukana na kumsababishia maumivu makali bado mapenzi yako pale pale.
Na mwisho
kampa (machozi)
yakatoka pindi anapopata maswahibu.
Na huo ndio udhaifu wake mmoja tu.
Kwa hiyo chunga na uheshimu machozi ya wanawake ktk huu ulimwengu hata ikiwa wanalia bila sababu! !
Kimekatwa kitovu chako pindi ulipotoka ktk hii dunia..
Na hicho kitovu kikaacha athari (alama)kwenye mwili wako ili ukumbuke daima;
kiumbe mkubwa ambae amekulisha kutoka kwenye mwili wake..
Ewe Mungu wangu nakuomba kwa kadri ya mapigo ya moyo wangu umjaalie MAMA YANGU awe mwanamke bora ktk wanawake na umsamehe makosa yake. Na uwajaalie kina mama wote wawe wanawake bora na uwasamehe wote...
Na uwajaalie uzima na afya tele
Mama jiko pindi unapokua na njaa.
Hospitali ukiwa mgonjwa
Pindi unapofurahi.
Alarm unapolala.
Mama ni dua pindi unapokua mbali.
Je umemfanyia wema gani mama.
Jizoeshe kumwita mama pindi unapoingia nyumbani
hata km hutaki kitu.
Kwa sababu yeye ndio kila kitu
SHARE UJUMBE HUU KWA WATU WENGI KADRI UNAVYOMPENDA MAMA YAKO...
Kagame ni Putin wa Afrika MasharikiInasemekana mzee mkubwa Kagame alihusika.
Kwakuwa walikuwa wametokea Dar,
Luteni Jenerali Imran Kombe aliyekuwa Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa hapa Tz, aliwashauri wasipande ndege moja kwa kuwa alishapata fununu kuhusu njama za mauaji hayo.
Lakini wakampuuza hatimaye wakapoteza maisha.
Hata mauaji tata ya Imran Kombe wengi wanasema Kagame anaweza akawa anahusika kwa kuwa Kombe alijua mambo mengi sana machafu ya Kagame katika ushiriki wake wa mauaji ya Marais hao wawili.
thank you Bitoz![]()
![]()
![]()
![]()
Heri ya siku ya wanawake
Wanawake wote popote pale walipo
........
Saizi yako betting tu.Hii michezo ya wazungu natamani kuijua!!!
Hatujambo ubarikiweWatu wa Nawasalimuni wote.
Ahsante Prof. MussoLEO KATIKA HISTORIA:
Kwa udhamini mnono wa akina Mama, niwatakie siku njema.
Njema asante sana Mungu akubarikiZa asubuhi Kapuku's!
Heri iwe kwao wanawake wote siku ya leo
Hahaaa huyo ni mama mchungaji wetu anatufanyia maombi asubuhi na jioniKumbe ww demu au nimekosea
Siku zote najua dume
![]()
![]()
....
Siku zote nilifikiei dume duhHahaaa huyo ni mama mchungaji wetu anatufanyia maombi asubuhi na jioni
Lee mutuz kapewa k2 na Qui